zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,831
- 8,622
Tindu ni kansa kwenye nchi yetu ambayo ni kisiwa cha amani na utulivu..........hakimu mwenye hekima alitakiwa kumzuia kwenda mara kabisa kwa kuwa ni mchochezi wa uvunjaji wa amani na mtetezi wa majambazi
haya bana, huyo ni hakimu anaejua sheria akimhukumu mwanasheria aliyebobea, sasa kwa sisi tusiojua sheria wala katiba ya nchi yetu hatutapewa masaa tu kuhama nchi bali tutapewa sekunde kuihama dunia tena kwa kusindikizwa na askari polisi na risasi vichogoni. pouwa tu,......haina noma.