Dr Slaa tunakusubiri UHURU

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,066
1,535
sisi watanzania asilimi 64 % tuliokuchagua kuwa Raisi wetu wa Tanzania tunakusubiri uje viwanja vya uhuru. kukuona tu kutatupunguzia makali ya athari zilizotukuta walau kisaikolojia na kutufariji tukiamini siku si nyingi utaingia ikulu utuepushie na hii balaa / maafa!!

usituache tafadhali! tunakulililia!
 
Rais wetu slaa jitokeze plz tukikuona tutafurahi, tunajua hautakuja kucheka kama mkwere alivyokua anacheka huku watz kwa mamilion wanalia.
 
Wajinga ndo waliwao ila kuna siku! Nakumbukaga sana wagisi wa kaya na kibao chao kileee.....kuna siku hata wakulima watajitokeza na ............:spider:
 
sorry hapo juu ni "wagosi wa kaya" na si "wagisi wa kaya" . Tunahitaji viongozi wa wananchi na si viongozi wa matumbo yao na familia zao. Na uongozi wa kifalme hatutaukubali Tanzania wajue hilo maana ndo kinachoendelea....kila mtu mwenye macho na akili anaona. Hatutakubali!
 
Rais wa wananchi wa Tanzania, Dr Slaa (PhD) njoo Uwanja wa Uhuru uone wananchi wako.

Tuigeuze UHURU iwe TAHRIR Square ya Tanzania, hatutoki, tutang'ang'ania hapahapa mpaka Rais wa Tume ya Uchaguzi Mkwere aondoke Ikulu kama Mubarak.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Kunani Huko Uhuru Wazalendo wenzangu?

we sasa ID umeitoa wapi kama hujui kilicho uwanja wa taifa? Tumewekwa sisi wakimbizi wa ndani ya nchi baada ya vita ya mabomu ya gongo la mboto. Nasikia walio nje ya kambi yetu ya hapa Uhuru wanayaita "mabomu ya Jk". Dr Slaa njoo utupe moyo,tupate matumaini.
 
hoja sio kua yeye ni padri sasa, hoja ni kwamba yeye ni the invisible president., na akienda pale uwanja wa taifa, haendi kama padri, anaenda kama the prezidaaa... Maneno yako uliyotamka hapo awali ni kua eti aende pale kama padri kuwapa watu councelling. Huo ni uchokozi na unafiki
 
As much as I respect Dr. Slaa I don't think he will be the leader of changes in Tanzania. Sisemi kwamba hana nafasi yake. La hasha. Ila kwangu mimi naona ni mtu mwingine kabisa ambae ata kuja kuongoza ukombozi wa kweli. Si vibaya lakini kwa sababu hata kupigania uhuru hakuanza Nyerere japo historia inaonyesha yeye ndiyo kiongozi wa mkakati wa kudai uhuru.
 
Slaa anachotaka ni kuingia Ikulu. Masuala ya maisha ya watanzania ya kila siku hana interest nayo. Hawezi kuja kuwaona wahanga kwa sababu yuko busy na masuala yake binafsi. Kama mna shida naye sana niandikieni PM niwape namba yake ya simu mumpigie.
 
jana alipotia timu bungeni ilikuwaje.........hata ccm walishangilia
 
Slaa anachotaka ni kuingia Ikulu. Masuala ya maisha ya watanzania ya kila siku hana interest nayo. Hawezi kuja kuwaona wahanga kwa sababu yuko busy na masuala yake binafsi. Kama mna shida naye sana niandikieni PM niwape namba yake ya simu mumpigie.
wewe ni PA wake? au shosti wa mchumba wake?
 
halafu Rais gani anaenda kwenye maafa hata hana suit nyeusi jamani, anaenda kwenye sherehe huyko Gongo la Mboto?
 
Na wewe ni PA wake? kwa nini asiweze kuoa?
Naona wewe ndo umeajiriwa kwa ajili ya kudiscuss personalities and mambo binafsi yanayohusu chupi za wapinzani.

LOW!!

hawezi kumoa mke wa mtu, sihitaji kuwa PA wake ili nilijue hili. hii naifanya bila kuajilriwa ila kwa mapenzi yangu kwa nchi yangu ili watu wawajue watu wanataka kuwaongoza. kama unataarifa nyingine za chupi za mbowe, mnyika,zitto na wengine nipe nitazisambaza kwa juhudi na nguvu zoote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom