Recent content by mariciana

  1. mariciana

    JamiiForums Tanzania Naweza kuactivate Window bila kulipia

    Naomba mm nielekeze mana naambiwa niweke key pc yenyew nilinunua tayar ikiwa installed naomba msaada Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mariciana

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nina miaka 40 sina familia, nyumba, kiwanja /shamba wala mradi wowote japo nimeajiriwa Serikalini

    Hujaamua tu kuwa navyo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mariciana

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

    Ndo mana wakipata chance ya kuiba wanaiba kwa mshahara huo kweli hutamuibia boss jamani
  4. mariciana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitauvunja vunja moyo wake soon

    Mwambie tu ukweli kua una mke na unatarajia kufunga December
  5. mariciana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili linaweza kuwa chanzo cha kuachana na huyu mwanamke

    Moto tutakaounguzwa sijui utakua wa rangi gani Mungu wng
  6. mariciana

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Sam Mahela na Mzinga wa ITV jirekebisheni

    Nmeshindwa kabsa yani nmeshajitahd nijue kisa ila nmeshindwa
  7. mariciana

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Sam Mahela na Mzinga wa ITV jirekebisheni

    Kusema ukweli sijaelewa kabsa yani yani
  8. mariciana

    JamiiForums Tanzania Nauliza kuhusu post za vyuo vya Afya

    Mbona na mm bado sijaona wameandika vile vile now waiting for selection au ni sehemu gani kwny profile mmeona wenzangu
  9. mariciana

    JamiiForums Tanzania Ada ya kusomea Diploma ya Afya Vyuo vya Serikali

    Mdogo wng Ana D zote kwny masomo ya phisics, chemistry na biology anawaza soma kozi zipi za afya na kwa vyuo gani vya serikali
  10. mariciana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Open your eyes dada, usitarajie ndoa huku unaogopa kutoa penzi kwanza

    Hapo chacha
  11. mariciana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti yangu yashike maneno haya, ili ndoa yako ikastawi

    Well said
  12. mariciana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    Maandiko yanasema japo dhambi zako zijapokua nyekundu zitakua nyeupe km sufi..... Mungu wetu sio wa visasi Mungu wetu ni wa wote wenye dhambi na wasio na dhambi ni kutubu Mungu atakusamehe na maisha yanaendelea
  13. mariciana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2015 yako ilikuaje,lets share,2016 umejipangaje

    Amina ili nipate furaha ya kazi kama ww
Back
Top Bottom