mariciana
Member
- Apr 30, 2015
- 82
- 34
unacho nena ndicho kitakachokutokda
Amina ili nipate furaha ya kazi kama ww
unacho nena ndicho kitakachokutokda
mwaka huu yani naona unachelewa tu kuisha, majanga juu ya majanga, sikutegemea kama ningeweza hata kucheka tena. all in all Mungu wetu ni wa neema. nasubiri 2016 inshallah naamini utakuwa wa kufuta yote yaliyonitoa furaha mwaka huu.
Japo NA changamoto zake nyingi, malengo yanatimia kuoa mke wanne....
Namshukuru Mungu tu kwa uhai wake ndani yangu, actually mambo hayakua pooooa sana but naamini mwaka ujao ni mwaka wangu wakustareheshwa na Bwana
Amen.. With Your Faith receive your heart desire in Jesus name Amen.. Thanks ..
Asante Sn, Nimepanga Tarehe Ingawa Bibi Harus Bado Hajapatkana. Lakini Mungu Ni Mwema.
Mimi namshukuru Mwenyenzi Mungu kwa mwaka 2015. Ukweli ni kuwa ulikuwa mwaka bora kabisa kwangu. Changamoto nilizopitia zitakuwa fursa kwa mwaka 2016.
Katika yote namtukuza Yesu Kristo. Amen
Me ulikuwa mgumu totally kwangu,na siupendi mpaka basi.Siasa,mapenzi,maisha,kazini daaa ni misukosuko. kichwa kinauma.
Pole keep having Faith and God will see you Through, Amen. Thanks..
Mwaka huu ulikuwa mzuri kwangu almost 90percnt ya malengo yangu yametimia namshukuru Mungu ingawa niliyempenda kaniharibia mwaka kaniacha katika mazingira tatanish full stress namwomba Mungu anipe ubavu wangu mwakan
Namshkuru Mungu mwaka umeenda vizuri ingawa kulikua na up`s n down`s kidogo but all is well kwa kweli Mungu anajaalia.....am praying Mwaka 2016 uwe wa heri na baraka kwa kweli...
Namshukuru Mungu kwa uhai na afya njema mwaka huu lengo lilikua ni kupata a dream job bado sijaipata Mungu mwema najua mwakani nitajaliwa na kufanya na mambo mengine
I receive in Jesus name, thnx mpnz
Mwaka huu Namshukuru Mungu kwani nimepiga box mpaka limeniogopa, likiniona tu linatetemeka!. Mwakani, lazima nikutane na mwana JF mmoja humu, halafu niwe golden member humu!. Can you hear me now?. Invisible!.Binafsi huwa siweki resolutions zozote ila mwisho wa mwaka huwa najifanyia personal.assessment kwa nliyofanikiwa....ila 2016 nina lengo moja tu la kuwa mchamungu, nifanye ibada kwa ukamilifu, niache dhambi zote...allah huma amiin