Watangazaji Sam Mahela na Mzinga wa ITV jirekebisheni

Watangazaji Sam Mahela na Mzinga wa ITV jirekebisheni

Tatizo ninaloona pale ITV na redio one ni kuwa na majina makubwa ya vipindi lakini contents za ovyo.
Mfano kile kipindi cha dakika 45 kila kipindi kuanzishwa kwake ni kunasibu japo kidogo kipindi cha hard talk(BBC) au kile cha Riz Khan lakini cha kushangaza badala ya kuwabana waalikwa kwa maswali na hoja nzito wao wanatoa platform ya waalikwa kutamba na kujisifu watakavyo na ndio maana waziri/mkurugenzi/mbunge akialikwa akatai tena nasikia wengine wanaomba kualikwa. Hii yote ni udhaifu wa mhariri na mtangazaji.

Wanaoendesha hivyo vipindi ni wasoma habari na si wanahabari.msoma habari hawezi kubwa na Mawazo ya maswali magumu yenye kumfikirisha mwalikwa.hivyo vipindi wanatakiwa wanataaluma haswa siyo wenye PhD za kwakiembe
 
Only in jf we dare to talk openly kuhusu zile suti na mapiko kichwani pia anavyo ongea anajikakamua sana sam mahela ana boa lakini ITV ni stesheni bora kabisa # tusimpangie chakuvaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kusema MTU c vzr but kutoa maoni imooo
Hii ya sum mahela kuvaa sut na kulowa jasho mmh nam nshamuona

Kwa kweli Sam haipendezi kama unakuwa mtaani basi vaa kimtaan zaid lakn c Suti bhana na majasho kibao

Lakn yule mwenye sauti kama ya Gondwe aaaah mbona yupo poa tuuu...halafu saut yake in inanistumuleitigi
 
Tatizo ninaloona pale ITV na redio one ni kuwa na majina makubwa ya vipindi lakini contents za ovyo.
Mfano kile kipindi cha dakika 45 kila kipindi kuanzishwa kwake ni kunasibu japo kidogo kipindi cha hard talk(BBC) au kile cha Riz Khan lakini cha kushangaza badala ya kuwabana waalikwa kwa maswali na hoja nzito wao wanatoa platform ya waalikwa kutamba na kujisifu watakavyo na ndio maana waziri/mkurugenzi/mbunge akialikwa akatai tena nasikia wengine wanaomba kualikwa. Hii yote ni udhaifu wa mhariri na mtangazaji.
Dakika 45 siyo hardtalk ni ana kwa ana. Hardtalk labda kikaangoni EATV
 
Ukipata chungu kipya usikitupe za zamani, Kabla AZAM haijaingia mpaani ITV ilikuwa chaguo la wengi tena mpaka sasa. Mleta mada ana CHUKI binafsi, hata post nyingi zimejieleza.
 
Watu hukuwa taratibu na kilamtu ananyota yake...kumbuka mfagiaji Wa CNN aliyegeuka kuwa mtangazaji anayependwa zaidi USA au kina Shakira waloambiwa wanasauti mbaaya na Leo wametikisa dunia dont act derogatory...hatawewe uliwahi jinyea Ila ukajifunza
 
tunawaambia kwa kuw asisi ni wadau wa ITV we want something better hatuna wivu wowote kwa kuwa hatutaki kuwa wasomaji wa habari, we are already better than that.

Wewe NNdondo Kwa nini hukumwambia direct unakuja huku JF wakati wewe ni mwasisi wa ITV? Mweleze personally asipokusikiliza ongea na mkuu wa idara ikishindikana njoo hapa leta mrejesho. Umbea hatutaki. Sam Mahela nampenda he is not biased kwenye mambo ua utangazaji hasa siasa. Niseme ukweli sijatazama Tv nina miezi sasa hivyo na mimi mwongo.
ha ha ha, thank you for making my day, umenichekesha sana asante, nakuheshimu kwa kuwa mkweli!
 
Itv superbrand EAC
Ingawa simkubali mapesa but mzinga yupo poa, alafu pengo la masako bado halijazibika lakini ata wale wadada wanaemdesha wanajitahidi kwa mbali.
 
Back
Top Bottom