Ada ya kusomea Diploma ya Afya Vyuo vya Serikali

Ada ya kusomea Diploma ya Afya Vyuo vya Serikali

Wakuu...naomba kuuliza kama kuna chuo cha Clinical Officer mkoani Mbeya au Iringa...Binafsi nimeulizia nimeshindwa kupata jibu.Nishaapply vyuo vtatu vya serikali mtandaoni,lakin idad ya waombaji ni kubwa na ninapata waswas wa kuchaguliwa...Naomben msaada wenu..
Ahsanten!!

(Nina B+ ya chem,Bios na Phys)
form 4 au 6
 
form four kaka

werema tuliaa, hapo clinical medicine huwezi kupata maana lazima uwe na phys kuanzia c kwa diploma na d kwa cheti,

nursing utapata ila kwa serikal nisikupe uhakika sana ila kwa private jst green.light to you

kama hpend kuwa nesi basi chek.zingine tu
 
Mdogo wng Ana D zote kwny masomo ya phisics, chemistry na biology anawaza soma kozi zipi za afya na kwa vyuo gani vya serikali
 
Wakuu naomben msaada jaman Mimi Nina
Phys D
Chem C
Bios. B
Math. F
Naweza kusoma coz ya clinical oficer(CO) Nina div ii ya 21
 
Wakuu naomben msaada jaman Mimi Nina
Phys D
Chem C
Bios. B
Math. F
Naweza kusoma coz ya clinical oficer(CO) Nina div ii ya 21

duh Ka math kanaweza kukuharibia kila kitu nenda advance tu
 
Advanc STK kwenda je nawez som diploma katk koz nyingin
 
jaman nisaidieni
naweza kusoma clinical officer?
matokeo nikama ifuatavyo 2016
bios D
hist D
Engl D
civics C
chemi D
geog D
kiswahili

DAAAAAAH WAKAT UNASOMA ULIKUA NA NDOTO KUHUSU KOZI ZA UTABIBU WEWE????!!!!!!!!!!!!!!
 
Nina chem D,biolg C na engl D ila fizii ckuxoma na geo C naweza kupata chuo cha famasia ngazi ya diploma
 
Nina mdogo angu ana F CHEM , D PHYSICS , C BIOS ANAWEZA SOMEA NINI? NAOMBA MSAADA WENU WAKUBWA
 
Nina chem D,biolg C na engl D ila fizii ckuxoma na geo C naweza kupata chuo cha famasia ngazi ya diploma

Screenshot_2017-02-05-12-04-43.png
 
Back
Top Bottom