Nitauvunja vunja moyo wake soon

Nitauvunja vunja moyo wake soon

Mwambie tuachane MPE na kadi ya mchango ila we ni difi mwenzio katoka kuachwa halafu ukamliwaza na baadae unaenda tena kumuacha aisee MPE hela ya uharibifu mkuu kama milioni Tano na usheee halafu uje tuzungumze namna ya kuwa mkweli na muwazi mi niandalie laki Tano tu nikufunde
 
Kama huna malengo nae ulifanya vibaya kujisogeza kwake akijua amepata mwanga mpya kumbe chenga tu.

Sio mbaya haya maisha tu, we mchane ukweli japo ataumia ila atasahau tu. Hawezi kujiua wakati life tamu namna hii.

Ila chunguza kabila lake kwanza maana anaweza kujirestisha in peace kweli
 
Mleta mada' azinie na mwanamke hana akili .
Ndio we we.
 
Mwambie tuachane MPE na kadi ya mchango ila we ni difi mwenzio katoka kuachwa halafu ukamliwaza na baadae unaenda tena kumuacha aisee MPE hela ya uharibifu mkuu kama milioni Tano na usheee halafu uje tuzungumze namna ya kuwa mkweli na muwazi mi niandalie laki Tano tu nikufunde
mimi mwenyewe sikutarajia nitazama miss chaga nilitaka asali kuja kushtuka nishachonga mzinga, ninamsubiria aje nimwambie face to face
 
Kama huna malengo nae ulifanya vibaya kujisogeza kwake akijua amepata mwanga mpya kumbe chenga tu.

Sio mbaya haya maisha tu, we mchane ukweli japo ataumia ila atasahau tu. Hawezi kujiua wakati life tamu namna hii.

Ila chunguza kabila lake kwanza maana anaweza kujirestisha in peace kweli
kabila lake mchaga mkuu
 
Back
Top Bottom