Recent content by mariavictima

  1. M

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

    Mpeni vipande vyake mpuuzi huyu. Ananichefua sana anapowachafulia binti zetu future yao. Hata kama ni kuwaonya, njia anayotumia si sahihi. Na Mungu atamlipia hapa hapa kwa mabinti zake kama anao. Pambaf.......... mkubwa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini TV za Bara zinadharau majanga yanayotokea visiwani Zanzibar?

    Laana ya kuchoma Makanisa itawaandama mpaka mtakapotubu. POLENI SANA.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

    Duh!! Huyu kazaliwa 1956 kamaliza darasa la saba 1976!!! Akiwa na miaka ishirini!! kazi kweli kweli!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    Mungu awabariki Ma-DR. Nendeni mkatafute maisha bora sehemu yenye maslahi na mazingira bora ya kazi. Sisi tutaendelea kwenda kwa Babu Loliondo mpaka tutakapofunguliwa kujuwa umuhimu wa Ma-Dr.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kinga dhidi ya wizi wa side mirrors

    Duh!!! Bongo kama uijuavyo!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tahadharini na wafanyakazi wa ndani,H/G!

    Uchawi hauna kabila. Mimi mwenyewe yamewahi kunikuta. Nilikuwa na bahati mbaya ya ajabu kuwa na ma-HG watatu mfululizo wote wachawi. Wa kwanza alikuwa msukuma, alikaa kidogo na tulipomgundua na kuanza kumpeleka kwenye maombi akatoroka. Wa pili alikuwa Mnyaturu kutoka Singida. Huyu alianza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    Hivi nyie hamna kazi za kufanya? Mnapigia kelele kitu ambacho hamjui? Hivi mnadhani huyo Dr. Slaa na Josephine ni wajinga mpaka wakatangaze ndoa kanisani wakati wakijua wana vikwazo? Hamjiulizi jeuri hiyo wameipata wapi? Kwa taarifa yenu ndoa ya kanisani haisimamishwi na Mahakama. Rose...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Asante YESU Sifa kwa Yesu. Asante kwa Huruma na Upendo wako mkuu kwa Dr. Ulimboka. Tutakusifu na kukuabudu siku zote kwa maana wewe ni Mkuu. Dr. Ulimboka ataendelea kulindwa na Mungu kwa kuwa ana sababu naye za kuendelea kuwa Hai. Hao wanaojifanya kuwa na uwezo wa kutoa Roho za watu, watapata...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chameleone azuiwa kuondoka nchini na Shigongo kisa deni!?

    Utalipwa hapa hapa kwa kutumia magazeti yako kuchafua watoto wa watu. Mbona wa kwako huwaandiki huko kwenye magazeti yako?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kuivunjavunja line yangu ya Tigo

    kama kuna mbwa tena koko TIGO ni mbwa koko. Ninawachukia kiasi kwamba sitaki hata kuwasikia. Simcard yao niliitupa chooni kwa hasira. Majizi wakubwa hao. Matangazo ya kipumbavu na kuiba pesa kwenye simu kwa kitu ambacho hujajiunga nacho. Sijui TCRA wako wapi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka is safe and stable

    Asante YESU sifa kwa YESU.
  12. M

    JamiiForums Tanzania WANAHARAKATI, Ulimboka MNAFANYA KAZI YA KANISA

    Mbona sielewi? Kwani nini kinazungumzwa hapo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali

    Duh! Hii hata mimi nimeisikia kwa mtu wa karibu sana na Ikulu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    Duh! Huyu dada KILAZA, sijapata kuona!! Uandishi gani huo? Rudi shuleni dada ukajifunze kuandika.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pickup mitsubishi storm 4wd inauzwa

    Model: 2003, Double Cabin, Automatic Transmission, Engine 4D56 Turbo Intercooler Ipo katika hali nzuri sana. Bei milioni 30. Mawasiliano: 0719308383 / 0754308383. Hakuna udalali.
Back
Top Bottom