Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

Member of Parliament CV

GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1743.jpg

First Name:
Sylvester
Middle Name:
Mhoja
Last Name:
Kasulumbayi
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Maswa Mashariki
Political Party:
CHADEMA
Office Location:
Box 170, Ipililo Maswa, Shinyanga
Office Phone:
+255 787 458107/+255 716 343727/+255 667 343727
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
skasulumbayi@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
1 January 1950

EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Bugisi Primary School
Primary Education
-
-
PRIMARY
Monduli Teachers' Training College
Teaching College
1972
1973
CERTIFICATE
Murutunguru College
Course
1978
1979
CERTIFICATE

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Maswa East Constituency
2010
2015
Maswa District Executive Director Office
Teacher
1973
2000


kamuulize Profesor Maji marefu, kamuulize lukuvi kafikaje hapo.
 
Wewe una elimu gani? Kupata maarifa hakuhitaji kwenda darasani? Bill gate aliacha shule leo yupo wapi? Wale mapacha waliogundua ndege waliacha shule kisa inawalostisha lakini leo ugunduzi wao tunajivunia kuliko wale wenye shule. Mmefundishwa na hao mnaosema darasa la saba leo mmepata mafanikio mnawadharau . Mimi huwa sipendi kabisa mtu awe anaongelea "cheap minds"

wapi billgates aliacha shule ww.nenda kagoogle vzur cv yake acha kuwahadaa wajinga wenzio ww.
 
Sasa ww ****** mbona na hiyo Phd ugombei ubunge kazi kukashfu elimu za watu shoga ww baba na mama ako ndo wamempa kura huyo darasa la 7 kahaba wa kiume ww

kaka jazba hazijengi,tulia upange hoja uonekane mtu.acha kutweta
 
Duh! huyu ndio waziri mtarajiwa!! kaazi kweli kweli

Mi nikikuoneni hapa mnavyochambua wenzenu nilidhani nyinyi hamna madudu!!

Tena hili la kwenu ni gunia la misumari kabisaa,, halibebeki
 
Elimuuuuu!!Ukiona unajidai saaana kuwa umeelimika ujue unatatizo ndio maana unataka hilo lionekane.Kuna watu elimu zao ndogo mno ila vision zao kwamwenye Phd nindoto yausiku!
 
Jaman Chadema hawa ndio mnategemea kuwapa uwaziri mkishika nchi kweli Chadema Hakuna Kitu acheni kuwadanganya Watanzani Darasa la Saba , Bosi wenu Mbowe Form six hata katiba ya nchi hairuhusu Kushika Nchi Mtu asiyekuwa graduate hivi Mngewekewa Pingamizi angeshinda mngesema Fitina ya CCM Kumbe Shule hakuna, Dr Slaa naye anabeba wake za Watu hata Ikulu hajaingia atatuchukulia Madem zetu tu na atakuwa anatumia Kodi za Watanzania kuwahonga Magari Wanawake zetu, Kweli ndio maana mnaambiwa Chadema ni chama cha wanaharakati , chama cha Ukanda ....
Kwa maadili ya Watanzania Dr hafai kushika nchi hebu tuwe wakwel tuache ushabiki hivi mtu akikuchukulia Mkeo utajisikiaje?

kwan wewe baba ako alijisikiaje mama ako alivyochukuliwa na mwigulu
 
bora huyo mwenye elimu ya darasa la saba na anaongoza kwa kufuata misingi ya haki na utawala kuliko kuwa na phd halafu huna msimamo unayumbishwa. mfano mzuri kuna maprof wako pale ud lakini wanashindwa kutofautisha ukweli na uwongo yaani maprof madesa,kwa suala la elimu linategemea pia muhusika anajitambua? ni sawa na kigezo cha miaka 18 eti mtu anaruhusiwa kupga kura wakati mtu anaweza akawa na umri huo lakini uwezo wake wa kuchanganua mambo hadi mtoto wa miaka 12 anamshinda.
 
bora Kasulumbayi ameeleza ukweli wa elimu yake kuliko Nchimbi, Kamala, Marry Nagu, Diallo, Chegeni na Makongoro Mahanga ambao ni mafisadi wa elimu..
 
Member of Parliament CV

GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1738.jpg

First Name:
Stephen
Middle Name:
Hilary
Last Name:
Ngonyani
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Korogwe Vijijini
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 60, Korogwe, Tanga
Office Phone:
+255 784 459090/+255 712 006666
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
sngonyani@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
25 May 1956
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Kwamndolwa Primary School
Primary Education
1970
1976
PRIMARY
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member of NEC
2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Regional Economic Secretary
2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Economic Secretary, Korogwe rural

2007


Duh!! Huyu kazaliwa 1956 kamaliza darasa la saba 1976!!! Akiwa na miaka ishirini!! kazi kweli kweli!
 
Jaman Chadema hawa ndio mnategemea kuwapa uwaziri mkishika nchi kweli Chadema Hakuna Kitu acheni kuwadanganya Watanzani Darasa la Saba , Bosi wenu Mbowe Form six hata katiba ya nchi hairuhusu Kushika Nchi Mtu asiyekuwa graduate hivi Mngewekewa Pingamizi angeshinda mngesema Fitina ya CCM Kumbe Shule hakuna, Dr Slaa naye anabeba wake za Watu hata Ikulu hajaingia atatuchukulia Madem zetu tu na atakuwa anatumia Kodi za Watanzania kuwahonga Magari Wanawake zetu, Kweli ndio maana mnaambiwa Chadema ni chama cha wanaharakati , chama cha Ukanda ....
Kwa maadili ya Watanzania Dr hafai kushika nchi hebu tuwe wakwel tuache ushabiki hivi mtu akikuchukulia Mkeo utajisikiaje?

Umelipwa kiasi gani na aliyekutuma???
 
wapi billgates aliacha shule ww.nenda kagoogle vzur cv yake acha kuwahadaa wajinga wenzio ww.

naona huna takwimu za kutotasha bill gate alizaliwa mwaka 1955 alianza kufanya programming akiwa na umri wa miaka 9 , akiwa [FONT=arial, sans-serif] na umri wa miaka 20 (mwaka 1975) aliacha shule kabla ya graduation na kuunda kampuni ya software na rafiki yake Alen.[/FONT]
 
Wewe elimu yako imetusaidia nini? Si Bora huyo chaguo la wananchi kuliko hao wasomi wako wezi wakubwa wa kura
 
Hatukatai kuwa elimu ni suala muhimu sana kwani karibia kila nyanja kama siyo zote zinahitaji elimu ya kutosha ili tija iweze kupatikana. Lakini kwa upande mwingine siyo elimu tukiwa na maana ya vyeti inayobadilisha maisha ya binadamu bali ni matumizi bora ya elimu aliyopata ndiyo itahamua muskhabali wa maisha yake. Huyu mbunge kwa elimu yake ya msingi ameweza kuitumia na kujenga ushawishi mbele ya wapiga kura wa vyama mbalimbali hadi akachaguliwa kwa kuwaangusha baadhi ya wasomi.Leo hii iwapo CDM itafanikiwa kutwaa dola watakaounda serikari ni pamoja na mamia kwa maelfu ya watanzania ambao wamejaa tele. Mfumo tunaotumia hivi sasa wa mawaziri kuwa wanachama wa vyama vya siasa unazuia uwajibikaji na ninaamini kwenye mabadiliko ya katiba hili nalo litakuwemo. Mawaziri wengi wenye PHD na maprofesa wamechangia kuvuruga uchumi kwa kiasi usichotegemea. Mmoja kati ya waliowahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ni graduate wa Havard lakini mikataba aliyoiingiza nchi inatisha
 
Hatuwezi sana kuwapima wabunge kwa kigezo cha elimu tu ndio maana hakuna shule ya kusomea ubunge
 
Mnaposema kaishia la saba maana yake nini?
Je,mnataka kutuambia kuwa MURUTUNGURU College na MONDULI Teacher's training college ni primary schools ?
Basi km hizo ni primary school basi hata mwenye degree,masters au phd ,tuseme kaishia form six , maana mnaonekana kutotambua vyuo km educational level.
 
Mtazamo wangu uko tofauti, kuwa darasa la saba naamini haimwondolei mtu kuwa mwakilishi wa wananchi ktk ngazi ya ubunge. Haijalishi umetokea chama gani.
 
wewe pongo nini CHADEMA hamna wasomi kweli wewe bunju hao waliosoma wamekutendea nini chema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom