Recent content by manushichini

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Rais hana haki kuhalalisha nyimbo ya msanii yeyote kuchezwa au kutochezwa

    Zitto ana pumba mnoooo siku izi tangu atoke Chadema sijui namuonaje.ila ubinafsi huharibu sana vipaji vya watu. Sema ndo vile tena kila siku ana vimada mada ambavyo havina kichwa.....anyway.I wish angejua
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi majukumu ya wanajeshi ya siku hadi siku ni yapi hasa?

    jibu swali.wanafanya nn wakati amna vita?achana na mambo ya morali kwanza
  3. M

    JamiiForums Tanzania Downlad videos straight from youtube

    safi sana nlikua cjui kaka.wengine wanajua kitu kikiwa jf basi tunakijua.kuna new comers.kuna kupitiwa na majukumu
  4. M

    JamiiForums Tanzania gari aina ya alteza....

    ka uko interested ni pm kuna yangu nimechukua mwaka jana nataka kubadili gari utakuja kuiona ipo safi kabisa ka tukikubaliana bei.mafuta ni kawaida it depends with ur income.ila iko confortable
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka magazetini ya ITV

    afu ukumbuke itv is owned by ipp media ambayo ina magazeti mengi.effect wanaijua na hasara wanapata wao ni tofauti na channel ten na rfa ambao wana magazeti yanayoishia mwanza tu.so as such they are right ili cocompasate running cost kaka.ao wengine hawajui uchungu wala gharama as they dont...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka magazetini ya ITV

    kosomewa yote ni hatari.magazeti hayatauza na watakosa pa kusoma cku zijazo.acha dezo nunua magazeti waandishi wa habari wanataka mshahara na kampuni zipate ela ya kujiendesha.eti watanzania wote hawana uwezo wa kununua ata maji yanauzwa.watu bana.tumia akili kidogo kufikiri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    north korea ungekuta no discussion katupiwa mbwa.ka uncle jun....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    nyie hamuelewi.njaa mbaya.zitto njaa kasaliti chadema na kutukana viongozi.fukuza tu.ye nani?????vijana watalinda nvhi wapo wengi.njaaaa vihela kidogo umaarufu anataka uraisi.atauza nchi weka nje ata kama kwa hasara.zito msaliti.ingekua n.korea.....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chadema kususia kuangalia TBC ni sawa na kususia kuona mwanga wa jua...

    mi kwel tbc siangaliagi tena.not because ya chadema ila wanakera na programu zao za akili ndogo.wanajua wa tz bora liende.akat kuna watu wana exposure nzuri na akili timamu tunaitaji vipindi vrz.
  10. M

    JamiiForums Tanzania NISADIENI KUTUNGA JINA la SHAMBA LANGU

    acha ujinga.ita jina lako la mwisho sio kitu cha siredi icho!!!watu wengine bana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CRDB wauzia wateja kadi za ATM

    mi nna account nmb.hawakati kurenew.labda ukipoteza kutengenezewa mpya.ku renew unakuta imetengenezwa tu.huko wanacharges nyingi accoun nlifunga.badala ya ela kuongezeka inapungua tu makato kibao.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze Lugha ya Kiarabu

    duh.kiarabu cha nin kwan?????kwao wanajilipua tu.very uncivilized.mabomu ya kuvaa,kuuana.jaman ivi ntapata nn kujua iyo lugha kama si shida.kamwambie samatha lee white na syria uko.au boko haram.khaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania La Zitto Kuvuliwa Nyadhifa CHADEMA: Mhe. Zitto, Please! Play It Cool!-Usijibizane Mitandaoni!.

    Reffer Mrema na Nccr.na Mrema na Tlp.ata angetoka mbowe or slaa.chadema is an institution.Zitto mtu mdogo sana na chadema ndio imembeba adi alipo.aya ya kupongezwa na le mutuz wa ccm ni shida.let him go an build displine in system.umaarufu wa kijinga tupa kule!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

    kweli jamii foram wenye mawazo mapana wametoka.wako waimba taarab na umbea wa barazani.tofauti ni kwamba comment zinatumwa kwa mtandao.maisha binafsi yawahusu nn.je mwamjua?plan zake,maisha binafsi.wengine wenu huku shida tupu.tumieni majina yenu halis mjulikane ka afanyavyo william le mutuz.uzi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

    acheni ushamba.mbona amsemi ya mengi.le mutuz ni social mixing up na watu ndo mana....ohhh.asimamish uliwai kumpa?waleta taarab jf. big up lemutuz.
Back
Top Bottom