Downlad videos straight from youtube

Downlad videos straight from youtube

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
532
Reaction score
165
Ni hatua chache tu za kufanya

1:fungua YouTube

2: search video unayotaka

3:nenda kwenye url ya hiyo video:- yaani ile YouTube.............

4:then futa kila kitu upande wa kushoto kuanzia hiyo nukta nyuma ya youtube
Yaani iwe YOUTUBE.COM/watch........

5:nyuma ya neno youtube andika SS isomeke
ssyoutube.com/watch.....

Then press enter,itakupeleka kwenye formats mbali mbali za kudownload
 
Asante kwa tukumbusha, maana ipo humu siku nyingi sana.
 
kabla ya kupost muwe mna angalia post nyingine hiyo ipo siku nyingi sana
 
Nimekupata vizuri mkuu. Sasa nimefikia hiyo hatua ya nne na kuziona hizo format lakini nikashindwa kujua nini niendelee nacho, naomba elezea hadi mwisho mkuu.
 
hengera cku nyingi nilikuwa nahangaika kudomnload video za youtube.maelezo uliyoyatoa nimeyafuata nimeweza kudownload video nyingi.asante ubarikiwe
 
mwanang poa sana nilikuwa naangaika sana kudownload leo nimeweza poa sana jomb kama una maujanja mengin tuelekeze m2 wang
 
HABARI NJEMAAAA!!!!
Kwa wanao tumia cm Android smart phone ukitaka ku download videos frm you tube usipate shida install software inaitwa tubemate nenda kwenye url andika Tubemate...worlds most versatile tube-squeezer, toothpaste-squeezer. ikifunguka chagua opera store ikifunguka click download ukimaliza install tayari kwa matumizi. ipo fasta inadownload HD video & high speed. nna uhakika utaipenda sana ciz its very cool
application.
 
mm natumia nokia 311 inanizungua ntafanyaje naomba msaada wako
 
Back
Top Bottom