CRDB wauzia wateja kadi za ATM

kataip

Member
Aug 21, 2013
85
95
Nimeshuhudia mteja wa crdb akiambiwa alipe sh. 5000/ kwa ajili ya kupata kadi mpya baada ya iliyopo kuisha muda wake yaani miaka chini ya miaka 5.
Wanakata kuchukua pesa, wanakata kila mwezi huduma ya account na baadhi ya huduma sasa naona wanaona haitoshi wameanzisha biashara kwenye KADI hasa utapotaka kubadilishiwa. Hii sijahiona NMB sijui bank zingine.
Vipi wana jamvi kuna ambaye naye wamemkuta? Vipi wako sahihi?mnasemaje waungwana nimeona tuliangalie pamoja.
Karibuni.
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,237
2,000

Siku hizi biashara ni huria. Bank zipo nyingi sana Tanzania. Ukiona crdb hawakufai wewe hama tu!!
 
Balozi wa Dodoma

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
477
225
Ni kawaida sana..na unaulizwa kabisa kwamba,account yko hakikisha ina shilingi 5000 km balance ambapo wao ukata kutoka kwenye account directly

wangekua wanakuibia
wangekwambia u cash in hand

nmb tozo ni 10000
sasa cjui ww unazungumzia nmb gani iyo?
 
kataip

Member
Aug 21, 2013
85
95
Ok nimewapata vema sasa naamini muda wa.kwisha umewekwa kibiashara zaidi maana hakuna kipya ktk kadi mpya.
Nakubali hakuna bure na nipo tayari kwa hilo ila maswali hayo ndiyo yalinipa shida.
 
manushichini

Member
Jun 28, 2012
26
20
Ni kawaida sana..na unaulizwa kabisa kwamba,account yko hakikisha ina shilingi 5000 km balance ambapo wao ukata kutoka kwenye account directly

wangekua wanakuibia
wangekwambia u cash in hand

nmb tozo ni 10000
sasa cjui ww unazungumzia nmb gani iyo?

mi nna account nmb.hawakati kurenew.labda ukipoteza kutengenezewa mpya.ku renew unakuta imetengenezwa tu.huko wanacharges nyingi accoun nlifunga.badala ya ela kuongezeka inapungua tu makato kibao.
 
Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,234
2,000
Ok nimewapata vema sasa naamini muda wa.kwisha umewekwa kibiashara zaidi maana hakuna kipya ktk kadi mpya.
Nakubali hakuna bure na nipo tayari kwa hilo ila maswali hayo ndiyo yalinipa shida.

Labda kama kadi yako haina matumizi zinachaka sana,
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,759
2,000
Nimeshuhudia mteja wa crdb akiambiwa alipe sh. 5000/ kwa ajili ya kupata kadi mpya baada ya iliyopo kuisha muda wake yaani miaka chini ya miaka 5.
Wanakata kuchukua pesa, wanakata kila mwezi huduma ya account na baadhi ya huduma sasa naona wanaona haitoshi wameanzisha biashara kwenye KADI hasa utapotaka kubadilishiwa. Hii sijahiona NMB sijui bank zingine.
Vipi wana jamvi kuna ambaye naye wamemkuta? Vipi wako sahihi?mnasemaje waungwana nimeona tuliangalie pamoja.
Karibuni.
Unapenda vya bure enheeee..... Jiangalie
 
VISSION

Member
Nov 29, 2013
32
0
Nimeshuhudia mteja wa crdb akiambiwa alipe sh. 5000/ kwa ajili ya kupata kadi mpya baada ya iliyopo kuisha muda wake yaani miaka chini ya miaka 5.
Wanakata kuchukua pesa, wanakata kila mwezi huduma ya account na baadhi ya huduma sasa naona wanaona haitoshi wameanzisha biashara kwenye KADI hasa utapotaka kubadilishiwa. Hii sijahiona NMB sijui bank zingine.
Vipi wana jamvi kuna ambaye naye wamemkuta? Vipi wako sahihi?mnasemaje waungwana nimeona tuliangalie pamoja.
Karibuni.

naona wewe ni mgeni kakita huduma za kibank mbona ni ishu za kawaida hizo kama ulikua hujui habari ndiyo hiyo ukiona huwezi kumudu tunza kwenye vibubu
 
sikajiji

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
586
195

Mimi si mgeni ktk hiyo bank ni mteja mwaka wa nane sasa lakini si kulipia baada kwisha muda wao ndiyo wamepanga muda ili wale vyetu buree huduma ni haki yangu

NMB haulipii kama kadi imeisha muda labla km umepoteza au kuharaibu.
 
Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
550
195
kaka nawe fanya research pia. mtoa mada ananzungumzia kuexpired card na sio kufanya replacement of card, hiyo elfu 10 ni ya replacement ila kwa card zilizoexpire ni elfu 5 kwa crdb na nmb.
 
Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
550
195
fanya research wewe, kurenew kadi nmb unalipia elf10, kwa hiyo elf5 ya crdb ndo imekustua? Ni charge za kawaida mkuu.

kaka nawe fanya reseach pia, mtoa mada kazunguzia kuhusu kuexpired card na sio replacement of card, hiyo elfu 10 ni kwa ajiri ya replacement of card na kuhusu kuexpire nmb na crdb ni elfu5
 
Wa nyamadyaki

JF-Expert Member
Mar 6, 2013
1,181
2,000
mi nna account nmb.hawakati kurenew.labda ukipoteza kutengenezewa mpya.ku renew unakuta imetengenezwa tu.huko wanacharges nyingi accoun nlifunga.badala ya ela kuongezeka inapungua tu makato kibao.

Fuatilia vizuri NMB wanakata kirenew card.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom