Sitaku kuwa chanzo, lakini mkiingia anga zangu itafahamika tu. Huu upuuzi binafsi siwezi kuuvumilia.Hakuna mtu aliye juu ya sheria hata Rais wa nchi.
Punguza jazba mkuu
Sitaku kuwa chanzo, lakini mkiingia anga zangu itafahamika tu. Huu upuuzi binafsi siwezi kuuvumilia.Hakuna mtu aliye juu ya sheria hata Rais wa nchi.
Huyu Raia anachekesha sana. Naishukuru serikali kwa kurudisha mafunzo ya lazima kwa mujibu wa sheria ya JKT
Mto mada kama unataka kujua kazi za jeshi nakuomba umtafute form 6 yeyyte wa mwaka 2013 aliyepitia recruit course ya jkt atakupa majibu murua !
Maana naona hapa unaandika mambo usiyofahamu raia !!
Usibeze jeshi lako.Li support kwa morali yote !
Moja ya jukumu kubwa la wanajeshi ni ulinzi wa mipaka ya nchi na hasa kukabiliana na uvamizi wa kijeshi kutoka mataifa mengine
Hata hivyo ni ukweli kuwa nchi yetu kuingia vitani ni tukio la nadra kutokea kama ilivyo nadra kuandika upya katiba ya nchi.
Ukiachilia mbali matukio kama uvamizi wa mipaka ya nchi,hata matukio kama majanga mbalimbai kama vile mafuriko n.k ambayo hulazimisha jeshi kutumika nayo ni ya mara moja moja tu.
Sasa swali langu kwa wanaojua ni nini hasa kazi zinazofanywa na wanajeshi kila siku ya mungu katika makambi yao?Au majukumu ya jeshi ni siri?
Inawezekana kuna vitengo vina kazi ya kila siku lakini sidhani kama ni kwa jeshi zima.
Kama kweli hali ndio hio,hakuna umuhimu wa jeshi kupangiwa majukumu mengine ya kitaifa?
Huyu Raia anachekesha sana. Naishukuru serikali kwa kurudisha mafunzo ya lazima kwa mujibu wa sheria ya JKT
Mto mada kama unataka kujua kazi za jeshi nakuomba umtafute form 6 yeyyte wa mwaka 2013 aliyepitia recruit course ya jkt atakupa majibu murua !
Maana naona hapa unaandika mambo usiyofahamu raia !!
Usibeze jeshi lako.Li support kwa morali yote !
Acheni kuchokonoa masuala ya usalama wa nchi,kama hamna cha kujadili kuna utungaji wa katiba mpya,,haya kazi kwenu,msiutumie uhuru vibaya taf,kumbukeni data zenu ziko JF acheni kujifanya hamnazo
mkuu hamna aliyekuja kuchekesha tunataka tu kufahau ndo mana watu wanaulza ili kuelewa na hakuna ana yebeza jeshi labda aliona majeshi ya nchi nyingne yanavo fanya na yeye akataka kujua mana dunia imebadilika hata strategy za majeshi mbalimbali zimechange mkuu
Mkuu majukumu ya kila siku ya jeshi ni moja wapo ya combat intelligence
Combat intelligence ni taarifa za kijasusi zinazokupa advantage kwenye battfield
Sasa Jeshi kwa njia ya kujihami haliwezi kuongea mambo sensitive kama hayo hadharani. Maana likifanya hivyo lita lose element of surprise kwenye battle.Practicalities za vita ni kuwahiana na timing tu haijalishi una silaha kiasi gani
Na pia strategies kwenye warfare hazibadiliki.Kinachobadilika ni tactics ambazo zinabadilika kutokana na factors mbali mbali kama mazingira,uzoefu,teknologia,uchumi na morali ya askari
Strategy and tactics ni vitu viwili tofauti
Pamoja sana kiongozi
Acheni kuchokonoa masuala ya usalama wa nchi,kama hamna cha kujadili kuna utungaji wa katiba mpya,,haya kazi kwenu,msiutumie uhuru vibaya taf,kumbukeni data zenu ziko JF acheni kujifanya hamnazo
Kama umeguswa, sema tu!Ww inaonesha bado hujakua ukikua utajua tu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ni kweli hili ni geshi letu tuna haki ya kuhoji pia kupendekeza kazi, nina anza
1. Wanajeshi waliopo kwenye miji mikubwa wapewe kazi ya kuhakikisha wanafunzi wanapanda Bus/Daladala bila bugudha.
2. Wanajeshi wote nchi nzima mara baada ya Parade washiriki katika shughuli za usafi wa mazingira kila mahali walipo.
3. Wanajeshi wenye taaluma, wapangiwe/wapewe kazi za part time kwenye Taasisi mf, Shule, Gereji, etc
4. Wanajeshi wawafundishe vijana wasio na ajira ukakamavu ili kupambana na uwezekano wa kutunga Sheria ya M7
5.
Mkuu,mawazo ya kiwehu haya!
Hivi kwa sababu unalala tu na kuamka,unadhani mambo yanaenda yenyewe automatically tu?
Ni kweli hili ni geshi letu tuna haki ya kuhoji pia kupendekeza kazi, nina anza
1. Wanajeshi waliopo kwenye miji mikubwa wapewe kazi ya kuhakikisha wanafunzi wanapanda Bus/Daladala bila bugudha.
2. Wanajeshi wote nchi nzima mara baada ya Parade washiriki katika shughuli za usafi wa mazingira kila mahali walipo.
3. Wanajeshi wenye taaluma, wapangiwe/wapewe kazi za part time kwenye Taasisi mf, Shule, Gereji, etc
4. Wanajeshi wawafundishe vijana wasio na ajira ukakamavu ili kupambana na uwezekano wa kutunga Sheria ya M7
5.
Mkuu achana na hao watu, mimi naona kama wanavujisha tu habari za jeshi, jambo ambalo ni hatari, na inaoneka wengi wanadandia thread bila kujua mwanzilishi ni nani, yuko wapi na kwanini anauliza.