Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

Status
Not open for further replies.
Umri wa Le Mutuz kufunga ndoa, ana miaka 55
Miaka 56 - Kupata mtoto wa kwanza
Miaka 62 - Mtoto anaanza darasa la kwanza
Miaka 69 - mtoto anamaliza darasa la saba
Miaka 71 - mtoto anaanza form one
Miaka 75 - mtoto anamaliza form four
miaka 76 - Mtoto anaanza form five
Miaka 77 - mtoto anamaliza form six
Miaka 78 - mtoto anaanza chuo mwaka wa kwanza
Miaka 81 - Mtoto anamaliza chuo
Miaka 83 - Mtoto ameanza ajira
Miaka 84 - Mtoto for first time anamnunulia gift baba yake
Miaka 85 - Baba anakufa, mtoto anachukua nafasi ya Baba kuwalea wadogo zake
jamaa si ana watoto,.
 
Mbona Baba yake kafunga ndoa uzeeni haikuwa nongwa.

Ukiishi nyumba ya vioo usiwachokoze vichaa, hata Mengi ana mtoto mbichi kabisa, ila yeye tatizo anaendesha siasa za mtaroni na kuattack personalities za watu bila kujijuwa kwamba anakata tawi la mti aliokalia.
 
kweli jamii foram wenye mawazo mapana wametoka.wako waimba taarab na umbea wa barazani.tofauti ni kwamba comment zinatumwa kwa mtandao.maisha binafsi yawahusu nn.je mwamjua?plan zake,maisha binafsi.wengine wenu huku shida tupu.tumieni majina yenu halis mjulikane ka afanyavyo william le mutuz.uzi kero kero
 
Kwahiyo wewe jina lako halisi ni manushichini?

Jinga kabisa.
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa kakimbia familia yake hapa BOSTON marekani alizaa na mama wakizungu akikimbia kwakushindwa kulipia huduma za.afya,ada n matumizi mengine ya muhimu kwa watoto wake..huyo hawezi rudi america ni wanted
 
Una uhakika gani jamani kama jogoo hapandi mtungi .? Punguza maneno makali kwa mambo ya kusikia tu
 
Wimbi la makapera limepungua!
Ila bado nina shaka kama itadumu au ni baiskeli ya miti popote haifikii, other wise best of luckyyyy
 
Le Mutuz ni over 50!!!! Nilimuona maeneo ya kati mjini juzi Ijumaa amakakamata hako kabinti kiuno wanatembea!!!! Basi vijana wauza mitumba pale jirani na Imalaseko wakawa wanacheka sana!! Si unajua mambo ya Kiamerika tena!!! Halafu huku anaongea na jamaa Fulani kwenye simu akimueleza kuwa ana mpango wa kufungua TV na Radio. Nilicheka sana!! Kabinti ni kadogoo hakika, binti wa kumzaa!!

Over 50 siyo umri wa mtu. Wewe taja hapa umri wake kama unaujua.
 
Kwa miezi takribani miwili super blogger nchini Wiliam J.Malecela "le mutuz" anatangaza suala la kufunga ndoa kubwa kabisa mpaka amefikiria kuchukua uwanja wa taifa. Lakini swali wengi wanaojiuliza ni kwamba le mutuz ana umri zaidi ya miaka 50 na huyo binti ana miaka 25 tu. Hivi imekaaje hii wadau. Anyway hongera le super mutuz le baharia kwa kuopoa mtoto mbichii yani umeokota chungwa chini ya muorabaini.

Le Mutuz akigonga 60+ demu atakuwa na 30 damu changa ndo mwanzo wa kumegewa.
 
huyu jamaa kakimbia familia yake hapa BOSTON marekani alizaa na mama wakizungu akikimbia kwakushindwa kulipia huduma za.afya,ada n matumizi mengine ya muhimu kwa watoto wake..huyo hawezi rudi america ni wanted
Kwa hiyo anaoa mke wa pili?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom