Recent content by manongwa

  1. manongwa

    CIA haimtambui Kikwete kama ni DR? Inatambua DRs watatu tuu katika Serikali ya JK!

    kuna baadhi ya hao walio tajwa for nwhat I know ni kweli wana dr. za ukweli! Lakini kitu kimoja cha kujiuliza kwa Mleta maada je kila linalosemwa na CIA kwetu ni sheria au ndio ukweli?
  2. manongwa

    Tuhuma za ugaidi wa Lwakatare: Mwingine adakwa Bukoba

    Huu kweli ndio utawala wa sheria?Mbona kama ndio hivyo haki za binadam hazifwati kabisa....?kama kweli hayo yanayo andikwa ndio yanatendeka watu wa hakiza binadamu inabidi kuingilia kati sababu huku ni kuwa provoke watu wafanye mambo ya ajabu
  3. manongwa

    Waliobanwa katika ajali wafariki

    kweli inauma sana kwasababu viongozi wetu hawa take responsibility zao masaa kumi na sita ni mengi sana.....poleni sana wafiwa...mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.Hii ni sawa na ile ya Gorofa mateja ndio wanaanza kukutana na miili Jangwani wakati kipindi cha uokoaji walikuwpo wakubwa...
  4. manongwa

    Wote wanaoipinga redio ya watu claus fm wana chuki binafsi

    kila mmoja anamawazo yake ya kuchagua kwamba hiki ni kizuri na hiki ni kibaya as long as ana uwezo wa ku reason na ku argue!kuwa super brand au kuwa na presenter creative hakumfanyi mtu aikubali kivile.......kuna watuwanazikubali sana redio nyingine kama radio one na zipo za mikoani mwao ambazo...
  5. manongwa

    Afisa polisi amdunda hakimu wilaya

    Huwa inashangaza sana ambapo huwa wanasema upelelezi au uchunguzi unaendelea wakati issue zinajieleza kabisa.....no one is above the law!
  6. manongwa

    Aden Rage:Mpango wa kujenga uwanja umeishia wapi/

    Tanzania kila kitu kimejaa Siasa sababu viongozi wa mpira ndio wale wale wanasiasa, ukienda kwenye Elimu the Same sasa mnategemea nini na hawataki kuwa achia wengine!
  7. manongwa

    Mwenyekiti wa CCM, mheshimiwa rais wetu Jakaya Kikwete yuko tayari kukabidhi nchi kwa upinzani 2015

    under the sun nothing is imposible...........ni mda tu ndio unahitaji na mda huo ni sasa ambao watu wana amka hamna haja ya vurugu wala nn ila awareness ya watu ndio itawatoa magamba!
  8. manongwa

    Picha za kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta na akiwa kazini.

    Siasa ni mchezo mchafu ambao wenyewe waliomo kwenye system wanakwambia if you wont make it,just fake it!nawachukia sana sababu wote sio wa kweli hata chembe
  9. manongwa

    Tanzia: Professor Wambali hatunae tena duniani

    May his soul rest in peace......Amen
  10. manongwa

    Wahaya wote inawahusu!!!

    watanzania kawaida yetu ni maselfish sana ndio maana hata kazi watu wanapeana kimtindo mtindo......kwahiyo network mnayotaka kuitengeneza nayo itakuwa na madhumuni ya kibinafsi kama yakupena job!
  11. manongwa

    Nauza shamba/kiwanja - Bagamoyo

    hiyo invitation mtu mwenye nia nalo sinamba imewekwa!sema wabongo mnapenda udalali kilasehem....
  12. manongwa

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    pomerini secondary 2003-2004 nilihamia level jumapili tunakwenda kanisani mabandani makla kitu kinaitwa waki(wali kiepe unachanganywa) full baridi basi lipo moja tu kwacha
Back
Top Bottom