RIP Prof , i.m not criticizing lugalo hospital but I place doubt on the Medical AssistantsRafiki yangu na mwanadarasa wangu Prof. Michael Kajela Beatus Wambali amefariki dunia leo tarehe 4.4.2013. Kwanza alilazwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kabla ya juzi kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikofariki dunia. Kwanza ilisemwa kuwa Prof. Wambali alikuwa anasumbuliwa na shinikizo la damu. Baadaye,ikasemwa kuwa Prof. Wambali amegundulika kuwa na uvimbe sehemu ya koromeo uliokuwa ukiathiri ulaji wake. UDSM kama mwajiri wake ilishindwa hata kumpatia huduma ya haraka Prof. Wambali. Jibu lililotoka UDSM na kuidhinishwa na Kitivo cha Sheria pale lilisema kuwa 'Chuo Kikuu hakina hela'. Prof. alipaswa kufanyiwa matibabu ya haraka hapa nchini,nchini Afrika Kusini au India. Akaachwa.Akasuswa. Hata Prof. Wambali amefanyiwa hivyo kweli? Chuo kimekosa fedha za matibabu kwa Mhadhiri tegemezi wa Sheria kama huyu? Chuo kina fedha nyingi kulipa safari za Prof. Mukandara na watu wake na si matibabu ya wahadhiri wake? Inauma sana na kutia aibu. Nenda Prof. Wambali. Lakini,UDSM watalaumiwa kwa kukutelekeza pamoja na huduma iliyotukuka uliyowapatia tangu miaka ya 80 hadi leo. Msalimu Comrade mwenzetu,Hayati Prof. Jwan Mwaikusa. Pumzika kwa amani classmate! VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mkuu pilau,nimetoa msaada wangu wa kimawazo na kifedha kidogo kadiri nilivyoweza. Katika dharura kama hii,mwajiri hutangulia kuzima moto.....Yote kwa yote inaonekana uko karibu na Profesa na pia uko karibu na familia na unafahamu undani wa swala la maradhi ya Profesa ... cha kushangaza kwa nini hukutoa ushauri unaoutoa sasa baada ya msiba kutokea? R. I. P. Profesa
RIP Prof , i.m not criticizing lugalo hospital but I place doubt on the Medical Assistants
tanzania hawajui thamani ya watu wake muhimu. sio UDSM peke yake sehemu nyingi taasisi nyingi za serikali. ila wakiugua wenyewe walioshika mpini haraka nje ya nchi.
Rafiki yangu na mwanadarasa wangu Prof. Michael Kajela Beatus Wambali amefariki dunia leo tarehe 4.4.2013. Kwanza alilazwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kabla ya juzi kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikofariki dunia. Kwanza ilisemwa kuwa Prof. Wambali alikuwa anasumbuliwa na shinikizo la damu. Baadaye,ikasemwa kuwa Prof. Wambali amegundulika kuwa na uvimbe sehemu ya koromeo uliokuwa ukiathiri ulaji wake. UDSM kama mwajiri wake ilishindwa hata kumpatia huduma ya haraka Prof. Wambali. Jibu lililotoka UDSM na kuidhinishwa na Kitivo cha Sheria pale lilisema kuwa 'Chuo Kikuu hakina hela'. Prof. alipaswa kufanyiwa matibabu ya haraka hapa nchini,nchini Afrika Kusini au India. Akaachwa.Akasuswa. Hata Prof. Wambali amefanyiwa hivyo kweli? Chuo kimekosa fedha za matibabu kwa Mhadhiri tegemezi wa Sheria kama huyu? Chuo kina fedha nyingi kulipa safari za Prof. Mukandara na watu wake na si matibabu ya wahadhiri wake? Inauma sana na kutia aibu. Nenda Prof. Wambali. Lakini,UDSM watalaumiwa kwa kukutelekeza pamoja na huduma iliyotukuka uliyowapatia tangu miaka ya 80 hadi leo. Msalimu Comrade mwenzetu,Hayati Prof. Jwan Mwaikusa. Pumzika kwa amani classmate! VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Nyaga, Mwipopo Judge and now Prof. Wambali, bad week for learned brothers and sisters!