Ukiona,bsi inapga ruti ndani mwaka dar mwanza jua,lazma iwe na injin, ya 94,114, scania, na difu zake na hi imekuja baada ya injin za kichina kulaza watu njian sku 2, lakin baada ya ufumbuzi,wa hil tatzo nw safari ni za uhakika kwnda, bk,kg Musoma, na mwnza! Kwa hizi njia zetu madereva wanakuwa...