Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 762
Musoma express halitoki msoma linatoka mwanza hili basi ndio basi pekee linafika dar saa tatu usiku mengine yote tano ama sita...nilipanda siku moja nikawa nasari rozari hadi nilipofika dar
Unapenda ligi dada?
Ukiona,bsi inapga ruti ndani mwaka dar mwanza jua,lazma iwe na injin, ya 94,114, scania, na difu zake na hi imekuja baada ya injin za kichina kulaza watu njian sku 2, lakin baada ya ufumbuzi,wa hil tatzo nw safari ni za uhakika kwnda, bk,kg Musoma, na mwnza! Kwa hizi njia zetu madereva wanakuwa w2 na mara nying, ni 120 to 140 km/hr na huo ndo mwendo safi,wa bsi na 80 kwa malori!
Musoma Express linatembea balaa,sema madereva wake wako makini na huwa wanapokezana
Mkuu musoma ni mbali sana jamaa hawezi kutembea speed kama anaenda iringa,kinachotakiwa ni umakini
na hapo hujakutana nae kipande cha kutoka dodoma kwenda singida,mashine inatembea mpaka unanyoosha mikono juu
umewajibu vyema maana watu hawafikirii mengine wanachofikiria ni speed tunaona watu mmekomaa musoma mbali, sheria inakata utembee 80km/hr on open road na 50km/hr sehemu zenye makazi ya watu. haijalishi we unaenda iringa au musoma au harare.
Musoma express halitoki msoma linatoka mwanza hili basi ndio basi pekee linafika dar saa tatu usiku mengine yote tano ama sita...nilipanda siku moja nikawa nasari rozari hadi nilipofika dar
Hata kama Musoma ni mbali lakini kwa driving hiii. Hapana aiseee tutamlaumu Mungu bure. Nimetimiza wajibu wangu
Polisi wetu hawahawa! Ok nilitipotiPiga simu polisi
Kwanini msimwambie drv apunguze mwendo?Linaitwa MUSOMA express Reg No. T 289 BEQ anaendesha vibaya na Ana overtake bila mpangilio. Nyuma yake lipo Nganga kama tunaweza kuripoti tusaidiane tupunguze ajali zisizo za lazima. Tunakaribia Chalinze mimi Niko kwenye basi tofauti na hayo
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.
Haya ni baadhi ya mabasi ukipanda kupata usingizi ni shughuli.Allys,leina,musoma,happy nation(sauti ya manka),coast line,am coach,mgamba na adventure ya kwa zito
kama kuna basi linakimbia kuliko hiii happy nation( sauti ya manka)basi hayo magari ni balaa! Maana hayo magari ya leina na mengineyo ya huko musoma na kigoma sijapata sifa zake bado!