Hili Basi litaua

Hili Basi litaua

hali hii huwa inatisha sana, hasa ukiamini bus ulilopanda linakimbia sana halafu unakuta bus lingine linawapita and within few mins haulioni tena, huwa nashukuru Mungu may be tupo salama zaidi kuliko waliyotupita japokuwa wote ni majanga, ila Leina Tours, Hoods (Mbeya-Arusha, Ngorika, baadhi ya Saibaba, Allys, na sasa hio Musoma Express ni bus hatari sana
Leina ni balaa!!!! yaani huwa haya mabasi yanapita basi zingine kama zimepaki wakati nazo unakuta ziko full speed
 
jamani hivi hao waliyo yatengeneza hayo mabasi hawakujua kuwa kuna siku yatakimbia hadi 180Km/hr? na je kama gari ina speed 320 km/hr mtu akitembelea speed 200 km/hr kuna tatizo?
 
jamani hivi hao waliyo yatengeneza hayo mabasi hawakujua kuwa kuna siku yatakimbia hadi 180Km/hr? na je kama gari ina speed 320 km/hr mtu akitembelea speed 200 km/hr kuna tatizo?

hakuna tatizo kama gari ni Zima, barabara ni nzuri na hali ya hewa ni nzuri. Watumiaji wawe wachache pia
 
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.

Sasa km mda huu wako chalinze anataka afike dar saa nane au tisa kwa safari ya musoma which ts not true..huyo dereva ni shetani hakimbii bali anapaa wametoka musoma saa tisa usiku ama.??? Wamripoti tuu
 
Nafikiri kwenye mabasi yote kuna namba za simu za polisi wa maeneo mbalimbali..hebu jaribu kucheck mbele kabisa ya basi lako uwasiliane nao
 
jamani hivi hao waliyo yatengeneza hayo mabasi hawakujua kuwa kuna siku yatakimbia hadi 180Km/hr? na je kama gari ina speed 320 km/hr mtu akitembelea speed 200 km/hr kuna tatizo?

are you serious??
 
Nilipanda hiyo leina inakimbia sana na dreva alikua makini sijui hayo mabasi mengine,,,
Nawashauri leina waongeze safari gari isiishie khm na wengine tuache mambo ya kusafiri siku mbili..
 
Haya ni baadhi ya mabasi ukipanda kupata usingizi ni shughuli.Allys,leina,musoma,happy nation(sauti ya manka),coast line,am coach,mgamba na adventure ya kwa zito
 
Makosa tunayo pia sisi abiria!!!! Ikotokea ajali utasikia walionusurika wanasema, DEREVA ALIKUWA ANAENDESHA HOVYO!! Kwanini tusitoe taarifa kwa vyombo husika upuuzi huu unapofanyika tukiwa kwenye vyombo vya usafiri??? Huyu mleta uzi yuko katika gari jingine. Humo ndani ya Musoma Express abiria hawaoni dereva wao anavyovifanya????
 
Hata kama bhana, linakimbia sana aisee, siku moja lilitupita basi letu likawa kama limesimama tu na within five mins hatukuliona tena

Tunawahi kula mwaka mpya bana
 
Nilipanda hiyo leina inakimbia sana na dreva alikua makini sijui hayo mabasi mengine,,,
Nawashauri leina waongeze safari gari isiishie khm na wengine tuache mambo ya kusafiri siku mbili..

Unapenda ligi dada?
 
hali hii huwa inatisha sana, hasa ukiamini bus ulilopanda linakimbia sana halafu unakuta bus lingine linawapita and within few mins haulioni tena, huwa nashukuru Mungu may be tupo salama zaidi kuliko waliyotupita japokuwa wote ni majanga, ila Leina Tours, Hoods (Mbeya-Arusha, Ngorika, baadhi ya Saibaba, Allys, na sasa hio Musoma Express ni bus hatari sana

Mkuu umesahau Happy nation za dar-mbeya na dar-mwanza usijaribu kabisa kupanda kama una presha
 
Ni kweli tunapenda kuwahi lakini pia mwendo wa kasi si mzuri..
 
Kufa kupo ila kuwahi muhmu kahma ni mbali kuliko mwanza!,ukweli napenda basi ambalo lipo on time!
 
Ukijua kukimbia lazima uwe na madereva wazoefu na wenye uelewa khusu tahadhari za ajal barabarani!
 
Musoma express! Ndo suluhisho la abiria wa kule kwetu, mara.tarime.sirari! Yani mwanza sa 3, Musoma sa 6. 45 umelala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom