INGAWA nimechelelwa sio mbaya nimi nikasema angalau kaneno
Haya yote ni matokeo ya kujipendekeza kwa viongozi wetu kwa wageni na kupewa makombo,watatumaliza wageni kwa jeuri ya kulindwa na viongozi njaaaaaaaaaaaaa.
Hata hawaoni aibu
kaka nimekuelewa lakini ebu jaribu maeneo ya kibaigwa na manyara udongo wake sio mgumu wa kuuwa mashine na mahitajio ni makubwa mno.Wanakolima mpunga ni hatari kwa mashine
Pia nakushauri kama bado ujakaa sawa tafuta mtaji wako wamafuta kakopeshe mafuta yaani unawalimia then ulipwe mazao baada...
Kucheat????????????????
Nafikiri mimi kikubwa zaidi ni maudhi yasiyoisha kutokujuwa wajibu kati yao kuona kuwa tayari amefika na hakuna zaidi . tamaa isiyo na maendeleo mashoga na washirika/wanaume
Wenye kipato kuona mwenzako kama vile kinyago na akigundua atatafuta wapi atathaminika
kama wapo kweli na wanalenga mikusanyiko basi ligi kuu , kagame ,stnd ya ubungo ifungwe.lakini kama havitafungwa kufanya mikutano ,kuandamana kuachiwe kama kawaida
Asanteni sana kwa makaribisho nimeshiba na kusaza, ingawa nilichelewa kusema asante ni kwa sababu ya miangaiko ya kila siku ila naomba muipokee asante yangu woooooooooooote,.
aSISI ni wazazi
ulichosema ni sahii lakini ni kweli mnao uwezo wa kuungana mkaufanikisha MGOMO? we umepata 100%na mwingine kakosa kabisa utakuwa na machungu naye kweli? inatia uchungu kuona Yatima wa kweli anarudi nyumbani na mtoto wa kigogo akiwa na 100%
Hii ndo...
Waheshimiwa miye ninataka kuanzisha mradi wa kutengeneza unga wa lishe kwa watoto wadogo nimetafiti soko lipo la kuridhisha tu,nafaka zote zipo masokoni tatizo langu ni jinsi gani yakuchanganya hizi nafaka kwa uwiano gani nipate kitu sahii kwa watoto .akina dada hawanyonyeshi siku hizi nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.