unga walishe kwa watoto wadogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unga walishe kwa watoto wadogo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mangolo, Nov 13, 2011.

 1. M

  Mangolo Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Waheshimiwa miye ninataka kuanzisha mradi wa kutengeneza unga wa lishe kwa watoto wadogo nimetafiti soko lipo la kuridhisha tu,nafaka zote zipo masokoni tatizo langu ni jinsi gani yakuchanganya hizi nafaka kwa uwiano gani nipate kitu sahii kwa watoto .akina dada hawanyonyeshi siku hizi nataka kuwasaidia kwa njia hii
  ASANTENI
   
 2. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama una muda tembelea ofisi za SIDO utapata mambo yote huko.Jamaa ni wataalam wa mambo ya nutrition pia.
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  good idea. na mimi ninawazo la kununua mashine ya kusaga unga wa muhogo halafu na paki vizuuuri.
  mna idea ya soko lake jamani?
   
Loading...