Al-shabaab na Tanzania, mbinu mpya ya kuzuia wanaharakati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al-shabaab na Tanzania, mbinu mpya ya kuzuia wanaharakati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, Nov 17, 2011.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Wadau JF,nimeangalia mtiririko wa vichwa vya habari magazetini na luningani tangu jana.ninachokiona ni waziri nahodha na mkakati wa kutuaminisha wananchi kwamba tuko katika hali ya hatari kuvamiwa na al-shabab toka somalia na tukitangaziwa mambo kadhaa kuhusiana na hili.My take,naona mbinu rasmi ya kuandaa sababu ya kuzuia mikutano na maandamano (kama itatokea) ya wanaharakati na wana CDM pale watakapo taka kuuelimisha umma kuhusiana na muswada unaoendelea bungeni kuhusu katiba ya jamhuri ya muungano...
   
 2. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Watazuiaje Al-shababu wakakati wanasema tayari wamesha ingia??? We nyoka kaingia halafu unasema unazuia !!!
   
 3. M

  Mangolo Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kama wapo kweli na wanalenga mikusanyiko basi ligi kuu , kagame ,stnd ya ubungo ifungwe.lakini kama havitafungwa kufanya mikutano ,kuandamana kuachiwe kama kawaida
   
Loading...