Lakini watanzania wenzangu ni kweli makosa yalishatoke pamoja na hayo haitakiwi kuwabeza wanaopambana ili kuweka mambo sawa.
Ninawashangaa sana wanchi wanaoanza kulaumu na kudai kuwa ACASIA wanatuzidi na ni makosa yaliyofanywa na viongozi wetu. Sijaelewa wanamaanisha nn au wanahitaji kwa kuwa...
Habari wapendwa.
Kuna hili swala LA bidhaa feki. kwa Mara ya kwanza sikujua kama tofauti na sisi watumiaji hakuna athari nyingine kwa taifa lakini kumbe hata uchimi wa taifa unatetereka.
Juzi nimefuatilia kidogo binge lokizungumzia suala hili nilishangaa sana tu kuwa kwa mwaka mmoja (2016)...
Huu ukosefu wa ajira haujawahi muacha MTU salama
Tatizo linakuja kwenye hii roho mbaya , sasa kukosa kwake ajira ndo awachukie wal8o kwenye system??!!
Ataisoma namba mlafwoko huyo
Hapo we ndo kilaza kwan walimu wngp wanfanya mambo ya maana. Walimu wangapi wanastaafu pensheni wanafnyia vitu vya maana........hujafikiria sana MKUU...watu hapa tumesomeshwa kwa mshahara ya hao waalimu unaowadharau wewe .....walimu hao unaowaponda wewe ndio waliokupa baadhi ya maarifa na ujuzi...
Mtoa posti hajafikiria sana.
Hajui kama kuna kazi na maisha ya MTU binafsi? Kwani unamaanisha watumishi kwenye maisha mabaya ni waalimu oekeyao??????
Nenda mirembe hujielewi
Siamini kama wote tunaabudu Mungu mmomoja kama nimkwa style hii haitakuja hata siku Moja tuwe kitu kimoja tuishi kwa upendo..... Lait kama wote tungekuwa tunamuabudu Mungu mmoja tusingedharauliana kiasi hiki
Mwalimu anavipindi saba kwa siku muda huo huo inatakiwa asahihishe madaftari 430 kwa siku bado hajajaza faftari LA mahudhurio ya wanafunzi 250, pia mwalimu huyo huyo inatakiwa afanye na majukumu mengine unafikiri ataweza yote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.