Nataka kuapply degree, ila cheti cha diploma na academic transcript bado havijatoka

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,253
2,908
Kama heading inavoeleza kufanya application lazima upitie nacte ambapo wanataka uwe na cheti au results transcript.

Ila hivyo vyote havijatoka na deadline ni tarehe 20 mwezi huu.

Kuna njia gani naweza kutumia kufanya application?
 
sio kweli kwamba diploma holders wana apply NACTE bali ni chuoni. nacte unapaswa kuwa varified tu na si vinginevyo.
 
Si lazima uwe na matokeoa yako...kwani Nacte wana details zako cha msingi ujue namba zako za mitihani pamoja na reg# ya chuo hivyo vitakusaidia kupata verification namba online kwa ajili ya ku apply degree
 
Back
Top Bottom