Acha kulazimisha mambo wewe ,hiyo lugha inawenyewe.Huna tu uwezo wa kuelewa lugha hii possibly kwakuwa na kadivisheni 4 kako kale kapointi 28 au upe ndio maana umekosa hoja nyamaza kimya!
Sentensi zako za kibashite ndo maana wadada walimu wanakutoa povu.
Collective judgement inaonesha mapungufu kwenye mchakato mzima wa kufikiria.