Mambo yasiyoacha watu salama

:DHabari zenu wakuu,natumaini mna afya njema kabisa na tunaendelea vizuri na mfungo.

Sasa hapa naomba tutaje vitu vyote visivyoacha watu salama maana naona vimezidi sasa tuvimalizie hapa ili tuachane navyo.

Kwa kuanza,KUTOKUA MAKINI UKIENDESHA VIFAA VYA MOTO HAVIKUACHI SALAMA!!!!

Karibuni:D:D:D
kutumia choo cha ndotoni hauta kuwa salama
 
Back
Top Bottom