Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,155 9,147 May 19, 2017 #2 Wanawaitaje wachewa au wayao wa huko?
Sadock Kabuko JF-Expert Member Mar 26, 2013 1,166 1,078 May 19, 2017 #6 Balaa ni pale mbongo unaenda hiyo sehemu na hiyo kitu hutumii then unaambiwa hakuna mboga nyingine tofauti na hiyo
Balaa ni pale mbongo unaenda hiyo sehemu na hiyo kitu hutumii then unaambiwa hakuna mboga nyingine tofauti na hiyo
bryan2 JF-Expert Member Jun 8, 2016 3,321 4,671 May 19, 2017 Thread starter #7 SADOCK NJIGINYA said: Balaa ni pale mbongo unaenda hiyo sehemu na hiyo kitu hutumii then unaambiwa hakuna mboga nyingine tofauti na hiyo Click to expand... hahahaaaa ntawaambia nakulaga tuu
SADOCK NJIGINYA said: Balaa ni pale mbongo unaenda hiyo sehemu na hiyo kitu hutumii then unaambiwa hakuna mboga nyingine tofauti na hiyo Click to expand... hahahaaaa ntawaambia nakulaga tuu
kishaija JF-Expert Member Jul 11, 2015 1,049 1,197 May 19, 2017 #8 Mi kumuangalia panya tu huwa napata kichefuchefu achilia mbali kumla
M man oloo Member May 9, 2017 16 7 May 19, 2017 #9 SADOCK NJIGINYA said: Balaa ni pale mbongo unaenda hiyo sehemu na hiyo kitu hutumii then unaambiwa hakuna mboga nyingine tofauti na hiyo Click to expand... Nitatumia tu litakalokuwa na liwe
SADOCK NJIGINYA said: Balaa ni pale mbongo unaenda hiyo sehemu na hiyo kitu hutumii then unaambiwa hakuna mboga nyingine tofauti na hiyo Click to expand... Nitatumia tu litakalokuwa na liwe
pmwasyoke JF-Expert Member May 27, 2010 4,724 3,240 May 19, 2017 #10 Ni chanzo safi sana cha protini!
jozzeva JF-Expert Member Oct 27, 2012 2,193 1,827 May 19, 2017 #11 Sema vipanya vyenyewe vidogo apo upate panya buku ndio kunoga.
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,561 48,230 May 20, 2017 #14 Basi hapo usishangae anaekula Panya akawa anamshangaa anaekula Kumbikumbi au Senene
titimunda JF-Expert Member Nov 26, 2014 7,571 9,782 May 20, 2017 #15 Mchawi kachumbari na pilipili tu hapo
No Escape JF-Expert Member Mar 7, 2016 6,663 7,774 May 20, 2017 #16 Hapa Bongo waambie anaongeza nguvu za kiume uone balaa lake!