Waalimu mnakera sana!

Waalimu mnakera sana!

Bado huaelewa somo that's why you are just vomiting useless arguments
Take time to help your fellows for the betterment of all generations
Mkuu lugha ya malikia angalia isije kukuvua taulo mbele ya wakwe.
 
Mkuu lugha ya malikia angalia isije kukuvua taulo mbele ya wakwe.
Huna tu uwezo wa kuelewa lugha hii possibly kwakuwa na kadivisheni 4 kako kale kapointi 28 au upe ndio maana umekosa hoja nyamaza kimya!
 
Mtoa posti hajafikiria sana.
Hajui kama kuna kazi na maisha ya MTU binafsi? Kwani unamaanisha watumishi kwenye maisha mabaya ni waalimu oekeyao??????
Nenda mirembe hujielewi
 
Mtoa post povu limekutoka utakuwa kuna mwalimu umemtongoza kakukatalia
. achakuwadharau walimu. Kitendo cha kuwadharau walimu hakijawahi kumuacha mtu salama
Anataka kutuharibia likizo tu watu tunasahihisha hapa tunahitaji utulivu wa fikra mtoa mada umekurupuka
 
Ulichokiandika hapa Ndo mfano hai wa majungu sasa, Nina uhakika ww ndo mweny tatzo na mwalimu flani unatumia gia ya kuwagombanisha wao kwa wao upate point, Unataka ulazimishe kupendwa? unataka ulazmishe ushirikiano Imekua vikoba? Au inakuuma wao kujipendekeza kwa wakuu wa shule. Pengne kweli wana majungu, ila utaanza wewe mana umeyadhihirishwa mwenyewe, Kwaio kwa sbb na ww unamajungu, hupend wenzako na mengne half sio mwl, Baz tunarud pale pale tabia ya mtu ni asili yake sio kazi yake
 
Anataka kutuharibia likizo tu watu tunasahihisha hapa tunahitaji utulivu wa fikra mtoa mada umekurupuka
Shughulikia hoja acha kukimbia kusahihisha kunahusika vipi na hili?!
 
Ulichokiandika hapa Ndo mfano hai wa majungu sasa, Nina uhakika ww ndo mweny tatzo na mwalimu flani unatumia gia ya kuwagombanisha wao kwa wao upate point, Unataka ulazimishe kupendwa? unataka ulazmishe ushirikiano Imekua vikoba? Au inakuuma wao kujipendekeza kwa wakuu wa shule. Pengne kweli wana majungu, ila utaanza wewe mana umeyadhihirishwa mwenyewe, Kwaio kwa sbb na ww unamajungu, hupend wenzako na mengne half sio mwl, Baz tunarud pale pale tabia ya mtu ni asili yake sio kazi yake
Acha ukilaza wewe mwalimu kwahiyo mtu akikukosoa anakuwa interested na mapenzi. Au wewe ukimkosoa mwanafunzi wako tuseme unamtaka kimapenzi.
Kama ni hivyo itakuwa tatizo ni kubwa zaidi ya ninavyolijua.
Kubali kukosolewa halafu jitathmini kama una tatizo jirekebisheni sio kubwabwaja nonsense!!!!
 
Bado huaelewa somo that's why you are just vomiting useless arguments
Take time to help your fellows for the betterment of all generations
C kosa lako bali uwezo wako wa kufikir n mdogo sana yan hisa yako ya akili ipo chin sana.Hata hivyo nilishaish na watu wa aina yako kwa hiyo watu kama niny psychologically hamtup shida kujua n watu wa kund gan,just behave uctafute cfa kwa post yako ya kipuuz.U have mind defects and u needs further help coz we tried to treat u through our comments on your post but it seems like it doesn't work at all.Plz go and see a Doctor b4 your problem become very serious.
 
Na hata mwanao usimpelekee huyo mwalimu,atamuharibu tuu ni bora umfundishe mwenyewe nyumbani kwako.
We jiulize mtu anayejitambua,upeo Mkubwa na mweny kujheshm anaweza kuandika upuuz kama huu?.Tanzania bado tunashda ya bright generations na tunahitaj at least miaka 100-200 kufikia lengo.
 
Really idiotic comment,come again with something positive may be you can be understood
 
Kwa bahati nzuri au mbaya nina watu wa karibu waalimu wengine shule za msingi wengine shule za sekondari.
Kwakweli nakereka sana juu ya tabia za waalimu makazini
Hawa watumishi hawapendani wao kwa wao,ni watu wa majungu kila siku,hawana ushirikiano,wamejawa wivu hata kifikia mahali pa kuoneana wivu wa mavazi
Wengine kujipendekeza kwa walimu wakuu na wakuu wa shule ilimradi tu mwingine aonekane hafai
Mitaani ndo usiseme dharau kwa wanakijiji hasa wakina dada / waalimu wa kike
Hii inanifanya niamini waalimu wa siku hizi hawana wito maana hata tabia zao si za kuigwa na ndio sababu walimu wengi wanaishia kula na kuvaa wengi wao maisha ni duni mpaka wanapostaafu na wakistaafu hawafanyi chochote cha maana kwakuwa na ushirikiano duni na jamii
Wito wangu kwenu waalimu badilikeni ili sekta ya ualimu iheshimike kwa kuanza kuiheshimisha wenyewe
Endelea kukereka mkuu maana hamna namna!
 
Acha ukilaza wewe mwalimu kwahiyo mtu akikukosoa anakuwa interested na mapenzi. Au wewe ukimkosoa mwanafunzi wako tuseme unamtaka kimapenzi.
Kama ni hivyo itakuwa tatizo ni kubwa zaidi ya ninavyolijua.
Kubali kukosolewa halafu jitathmini kama una tatizo jirekebisheni sio kubwabwaja nonsense!!!!
Wewe sasa ndo umedhihirisha Akili fupi iliyopo kwenye hicho kichwa juu ya shingo yako. Kwenye hio post kuna neno MAPENZI, sasa naweza hisi unakisa cha kukataliwa na mwl hlf unakuja kujipoza JF kwa wasomi, hili ndo tatzo la watu mnao waza mapenzi mda wote, Nimeandika upendo we unafkitia Mapenzi, hili ndo tatzo la kuandka post ukiwa chooni, mana ukiingia chooni robo tatu ya akili unaiacha nje unaingia na robo itakayo kusaidia usijinyeee, sasa wewe inaonesha zile za kukusaidia usijinyee umetumia kuandikia thread, sijui kilichotokea humo chooni, itakua siri yako. By the way mm sio mwl ila nimelelewa na kueleimishwa na mwalimu siwez kukubali chuki zako binafs uwashushe hadhi
 
afd5ede4b34cf08cfda2766521f3414d.jpg

Mtu mwenyewe umejiunga JF january 22 hata nusu mwaka bd hujamalza unakuja kutoa ukoko humu. wenzako wanatuliaga kwanza kusoma upepo na kuangalia watu wanaoshusha mada kwa Logic na evidence. We unakuja kutapika mapera humu. No wonder post 200 like 70
 
WONDERS JF

we jamaa umenishangaza sana, kumbe n mwl tena asie na ajira, Chuki zako tuu unakuja kubwabwanya humu. Usimuombee mwenzako mabaya ,ila kwa stail hii Ajira utaiskia Mtandaoni.

c8adff85face663efbfd957a3cdb5291.jpg

Siku zote mtu akituma post ya kipuuuzi cha kwanza n kuangalia Background yake kwanza, Mwisho wa siku naona kile ambacho nilitarajia kukiona
 
Back
Top Bottom