Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

vidune wapo busy kumsaka mke wa Daud Bashite ili wampachilke mimba baada ya Daud Bashite kuishi nae miaka 6 pasipo kupata mtoto wameapa kumsaidia kupata mtoto feki kama vyeti vyake.
Wangalie vizuri daudi siyo wa sport sport
 
Kiongozi makini uangalia idadi ya jamii yenye watu wengi hapo ndio ufanya uteuzi wake
Sasa ukiangalia wasukuma nchini Tanzania ni aslimia 65% ya watanzania wote ili mkuu aweze kurudi madarakani yambidi awemsukuma kweli kweli
 
hii picha ka nimeiona page ya mange ...anyweyyy uzi huu ni mtamu kama ukwaju
 
kama swala ni ukanda na hapa tusipasahau.
wanaompinga magufuli Hawa hapa:
Mange kimambi-kaskazin
Lema-kaskazin
Mbowe-kaskazin
Lowasa-kaskazin
Sumaye-kaskazin
Nasari-kaskazin
Pia angalia teuzi zote kuanzia kwa Nkya nakuendelea wote kaskazin
halafu eti mnataka tuwape nchi
 
Mange atupe za Ndani sasa Inawezekana amebeba ujumbe maalum
Tuache kufuatilia maisha binafsi ya watu, hapa tujadili maendeleo ya nchi. Kila mtu ana ghost in the cupboard
 
Yaani wewe mwanaume mzima unakaa kwenye keyboard /simu unajadili ujinga huu? Hivi ni nani kawaroga ninyi? Halafu ukitoka hapo unaanzisha thread nyingine kulalamika maisha magumu, jioni unaenda pub /Bar ya mtaani kwako hapo kumeza mate wakati wenzako wanakunywa kilaji, ukitoka hapo unanyeshewa na Mvua kurudi nyumbani huku umeshikilia simu /iPad na power bank. Unabaki kutamani nyumba na magari ya wenzio. Ni bahati mbaya hata hivi vyuo vyetu vinafundisha mwanafunzi kufaulu mtihani badala ya kumpa skills jinsi ya kukabiliana na mazingira ndo maana mpo hivyo. Endelea kulalamika kwenye social media mpaka 2020 utakuwa na miaka mingapi? Mh Rais hapangiwi mteue huyu sijui yule, he has power granted to him by our constitution. Na bahati mbaya hasikilizi kelele zenu, hivyo mnaweza kuendelea kuropoka
 
Jameni tumetoka nae mbali huyu..naomba mumuache kama alivyo!!
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.

Ombi: Naomba no yake wana JF.

MWABHEJA
 
Mkome mbona walipokuwa wachaga mlikuwa hamsemi. Magufuli bhatolage bhenabha bhale Na kishimbe,
Hivi kuna mchaga ameshawahi kua rais au waziri mkuu kwenye kaya yetu...na Je swali chokonozi...wangeshika hizo nyadhifa ingekuwaje...Tafadhali watanzania hizi siasa za chuki na ubaguzi tusizipe nafasi katika nchi yetu...Tanzania ni yetu sote na hatuna pengine pa kwenda...tupendane, tuheshimiane,na tusibaguane..hakuna mwenye hatimiliki na kaya yetu
 
Teuzi za yule mtu nna wasiwasi kama zinaangalia hata sifa...cjaona teuzi aliofanya so far ambayo imekuwa outstanding..ukiangalia uteuzi wa ukuu wa dar na ukuu wa arusha...unajua ni sifa zipi anazingatia zaidi...na huyu wa gairo nadhani amezingatia yale anayosema yule kikatuni cha IG kinachojiita mpigania democracy...
Ume note kitu cha msingi sana!

Eneo hili la teuzi limesumbua sana awamu hii, Wengi hawaonekani kama ni wanafit kwenye hizo nafasi, na Zipo issues kibao za kimakosa, tuombe Mungu. Tupatie.....
 
Kiongozi makini uangalia idadi ya jamii yenye watu wengi hapo ndio ufanya uteuzi wake
Sasa ukiangalia wasukuma nchini Tanzania ni aslimia 65% ya watanzania wote ili mkuu aweze kurudi madarakani yambidi awemsukuma kweli kweli
Pumba kabisa!
Hivi unajua asilimia ina maana gani?
Ok ngoja tukusaidie, ni kwamba kila ukiona watu 100 Basi 65 ni wasukuma! Nchi ina makabila 126, mikoa 30+ hata kama ukiamua kuita kanda ya ziwa jua hawawezi kufika hata 1/3 ya watanzania wote.
Ngoja tutakuletea takwimu za wapiga kura 2015 uone vizuri
 
Nenda na Nida ukaone katika record za sensa wasukuma ni 65% ya watanzania wote
 
Mama chapa kazi achana na wambeya. Mambo mengine ni kama tulivyoongea pale ofisini juzi jumamosi
 
Nenda na Nida ukaone katika record za sensa wasukuma ni 65% ya watanzania wote
sense mwaka 2012 as per national bureau of statistics (NIDA si sehemu sahihi....)
Tabora 2,291,623 ; kigoma 2,127,930; shinyanga 1,534,808; kagera 2,458,023; Mwanza 2,772,509; Mara 1,743,830; Simiyu 1,584,157; Geita 1,739,530 jumla kuu ya mikoa yote hiyo 8 mnaojiita ndugu (sio wasukuma peke yao jumlisha na vikabila vingine vyote vya kanda ya ziwa hadi na wakimbizi walowezi) jumla kuu ni 16,252,410 sawa na asilimia 36% ya watanzania wote. huku takwimu za kiwango cha elimu mkishika literacy rate 9. Mara 80.7; 11. Mwanza 79.9; 16. kagera 76.8 na Kigoma 76.0....
takwimu nyingine kasome mwenyewe data zipo.
Acheni kujidanganya watu wakifanya ukabila hamtobaki salama..... kwanza idadi haitoshi na pili bado kuna "zero brain" wengi mno kwenye jamii yenu.
wengi mnachanganya issue ya ukubwa wa kabila la kisukuma na wingi wa idadi ya watu, nadhani kama tutaweka uwiano wa kabila 1moja moja by far mnawapita wengine, ila kama kabila 120 zikiunganishwa hata 1/10 hamfiki...
Nendeni shule pleaseeeee......
 
sense mwaka 2012 as per national bureau of statistics (NIDA si sehemu sahihi....)
Tabora 2,291,623 ; kigoma 2,127,930; shinyanga 1,534,808; kagera 2,458,023; Mwanza 2,772,509; Mara 1,743,830; Simiyu 1,584,157; Geita 1,739,530 jumla kuu ya mikoa yote hiyo 8 mnaojiita ndugu (sio wasukuma peke yao jumlisha na vikabila vingine vyote vya kanda ya ziwa hadi na wakimbizi walowezi) jumla kuu ni 16,252,410 sawa na asilimia 36% ya watanzania wote. huku takwimu za kiwango cha elimu mkishika literacy rate 9. Mara 80.7; 11. Mwanza 79.9; 16. kagera 76.8 na Kigoma 76.0....
takwimu nyingine kasome mwenyewe data zipo.
Acheni kujidanganya watu wakifanya ukabila hamtobaki salama..... kwanza idadi haitoshi na pili bado kuna "zero brain" wengi mno kwenye jamii yenu.
wengi mnachanganya issue ya ukubwa wa kabila la kisukuma na wingi wa idadi ya watu, nadhani kama tutaweka uwiano wa kabila 1moja moja by far mnawapita wengine, ila kama kabila 120 zikiunganisha hatwa 1/10 hamfiki...
Nendeni shule pleaseeeee......
Umetoa shule murua kabisa akirudi naomba unganisha post hii na yake na yangu
 
Mm naona kama mnatafutanjambo ambalo halitakiwi katika nchi hii wingi wenu hakuna athari yoyote kwa taifa hili.
 
Back
Top Bottom