Recent content by mamboko

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utumishi mjichunguze kuhusu uadilifu wa kazi yenu,baadhi yenu sio waaaminifu

    ukishindwa ni lazima ujenge hoja ya kudhuluiwa, lakin si unajua utumishi ni binadamu kama wewe, je wewe ukipata hiyo kazi utakuwa mwaminifu kiasi gani, nilikuwa naona kuna umuhimu wa kunyonga wala rushwa wote
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini zimamoto na uokoaji

    ajira imekuwa taabu lakini hauwezi amini kwamba nao hawa jamaaa walikua maskin kama sisi ila wametugeuka
  3. M

    JamiiForums Tanzania TUME YA AJIRA: Mnamaanisha nini hapa???

    we omba tu jamaa hawana kumbu*2
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyetayari kufanya kazi kwa muda wake wa ziada

    mtoa mada tumia mtandao vizuri waambie what type of work do you have, na ujue kwamba kuna watu kweli hawana kzi so wape clear issues we we unakatika
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kuiuliza pannel kwene interview

    iliona vipi kaa kimya sometime wengine ukiwauliza wakuona kwamba wewe ni mjuaji sana hasa zile kazi ambazo tayari wadau wwapo, ila kama kazi haina upendeleo mzee hapo shwari
  6. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari mkisalimu amri sasa mmekwisha; mtawahukumu wanaokuja nyuma yenu

    MTOA MADA IF SO UNATAKA TUINGIE LIBYA sema mzee tutakusaport but baada ya mda mchache kutakuwa hakuna mjanja, kwani sisi tunao lala nje ya majumba yetu kila siku kwa ajili ya maisha yenu na mali zenu hatuna haki, je hatuna elimu kama mnavyodai, na kama hauamini kama tuna shule za kufa mtu let do...
  7. M

    JamiiForums Tanzania NM-AIST shortlist

    hata mimi kuna jamaa yangu nilifanya naye interview somewhere kwa sasayuko pale so, i dont know kilichotokea ni nini
  8. M

    JamiiForums Tanzania Urasimu utumishi

    mimi kama mdau i say utumishi hawana lolote lile zaidi ya kupata night za kwenda kufanya interview huko mikoani. ukikutana nao mahoteilini wanataka uwaabudu kama mungu, kwa hilo mimi siliwezi bora nikalime kwetu kijijini. lakini kwanini watanzania tumegubikwa na urasmu wa ajabu kiasi hicho.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Takukuru mulika tume ya ajira

    ok mimi ni muelewa mada tuitoe kama ina uchochezi
  10. M

    JamiiForums Tanzania wakuu kuna nafasi mpya utumishi ndo wamezitopa leo

    mimi naomba hivyo hivyo liwalo naliwe book ya kupostia ninayo na picha ninazo za kumwaga, wangesema wote tuliomba tumepata kazi nisingeomba
  11. M

    JamiiForums Tanzania Urasimu utumishi

  12. M

    JamiiForums Tanzania Urasimu utumishi

    Wakubwa ni bora ajira ingeenelea kutolewa kwenye kila taasisi maana usanii wa utumishi unatisha kwanza wao wenyewe hawana sifa za kumuiterview mtu ila wamejaa husuda tupu
  13. M

    JamiiForums Tanzania NImeanza kutowaamini PSRS/Utumishi/Ajira

    Pale mzumbe nao wazushi eti nafasi moja watu wameitwa 8 is it fair mkubwa
  14. M

    JamiiForums Tanzania NImeanza kutowaamini PSRS/Utumishi/Ajira

    Wakumwa mimi nilifanya interview pale mucbs( ushirika) nilikuwa peke yangu kwenye field yangu lakin cha kushangaza walitwa watu wengine, na interview ilikuwa simple ile mbaya, halafu jamaa hawajui vitu yaaani wako shaloinle mbaya mmoja wao akaniliuza what is vpc bninamwambia pardon akaridia i...
Back
Top Bottom