NImeanza kutowaamini PSRS/Utumishi/Ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NImeanza kutowaamini PSRS/Utumishi/Ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Davich, Jun 26, 2012.

 1. Davich

  Davich Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza itwa pale kwaajili ya interview na ukafunika kumbe unasindikiza tu!!!Niwafanyakazi wa serekari kunaweza kukawa na nafasi moja wakaita watu kumi,Kuna umuhimu gani wakuniita kama unajua hutanichukua??Yaani nimefanya nao Interview kama 4 unawajibu maswali yote na wanakuambia vizuri sana wanachukua mtu mwingine.Yaani serikari imekuwa na undugu mzito mno.
  Coz nimeenda pale mara nne eti wananiuliza "Du!!hivi wewe hujapata kazi tuu??" kana kwamba hawajui kama kazi iliyopita walininyima!!!Hao ni wazee na watu wazima wanahesabika kuwa na elimu za juu kuaminika kuwa elimu za juu za zamani ni zaidi ya za sasa.
  Swali langu la msingi napenda kufahamu,ilikupata kazi serekalini unatakiwa kuwaje?????, sina mtu wa kumtumia popote pale,:hat:,maana Interview zao zili za powerpoint nimefanya mara 4 na vizuri hawanipi kazi! kama mtu hafai asiitwe kwani utakuwa umepoteza pesa ya kutumia barua tuu sio pamoja na nauli,muda na usingizi.
   
 2. M

  Mudamali Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi serikalini kwa sasa undugu, kujuana na rushwa vimeshika hatamu.
  Tulitegemea wakicentralize mambo haya yatakoma, cha ajabu yamestawi zaidi.
   
 3. R

  RISCA Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ndio hata sijawahi kuitwa kwenye interview huko tume ya ajira.. siku nikiitwa nitazimia kabisa
   
 4. T

  TUMY JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenichekesha sana mkuu
   
 5. T

  TUMY JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I understand ur concern kaka, ila ni kweli serikalini bado suala la kujuana liko sana watu wanaitwa kwenda kuigiza tu ila tayari wanajua nafasi wanampa nani, japo si mara zote.Ila kwa kukushauri tu wala huna haja ya kukata tamaa, kama wameweza kukuita karibu mara 4 its a great thing kwani kuna ambao hata kuitwa wanakusikia tu.Endelea kuomba mwisho wa siku utapata na mtangulize Mungu pia.
   
 6. p

  panadol JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usihofu mkuu,utapata tu kama wameweza kukuita mara ya 4 ,sembuse wengine ambao wamekuwa wakijaribu kuomba mara kwa mara bila hata kuitwa ata mara moja ucjali mkuu mm naamini nafasi yako iko na utapata kazi serikalini wala usikate tamaa mkuu kumbuka mvumilivu ula mbivu!
   
 7. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nenda karoge
   
 8. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna mchezo mchafu unafanyika nimeambiwa na mtu wa karibu sana na hao eti hao ma HR izo nafasi wanaziuza utakuta nafasi moja inakwenda kwa Milioni 1 mpaka 2 sasa utakuta HR ana vichwa 40 anavuta Milioni 40 hivi,mueshimiwa rais na watanzania kwa ujumla tutazidi kutengwa.pia nasikia lile gonjwa linalowaumiza wengi la watu wa kaskazini lipo tena humu ukiachilia TRA. ''hii ni serious'' mweyekuwafahamu wabunge uko bungeni wapeni hii skandal wawabwatukie hao MAGAMBA la sivyo tutaumiaa
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kuna undugu kwa sababu wewe na wenzako hamjapata kazi??!! kwa hiyo siku mkipata ndo itakua kipimo cha fairness..hilarious.
   
 10. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Nina wasiwasi na ule msemo usemao "MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA". kwanza kwanini mnapenda kuwa na mitazamo hasi wakati wote? Waza namna hii utafanikiwa... Watu wa kaskazini mbali na kuwa na taaluma ya darasani, wanajua sana kujieleza. Kisha amua kuwaconsult watu wa huko wakufundishe namna ya kujieleza.

  Hata hivyo ninamaswali kadhaa kwako.
  • unasema wewe umekuwa ukijibu vizuri maswali yao, je unajuaje kuwa hiyo jibu nzuri yako ilishinda ya hao wengine na hali hukuwaona wakijibu?
  • Bado hujafikiria kuwa CV yako si halisia ukilinganisha na wewe mwenyewe ulivyo? Ndo maana unashinda kwa mujibu wa CV, lakini ukienda wewe, waenda chaka mazima.

  Ushauri wa mwisho, kama unaamini hivyo acha kabisa kutuma application ili uwakomoe hao secretariat na tabia yao mbaya.
   
 11. Davich

  Davich Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabisa na asiefahamu ataona kama c kweli.
   
 12. Davich

  Davich Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikweli lakini kwa sababu umeamua na unapendezewa iwe hivyp poa!!
   
 13. Davich

  Davich Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia ni wazo zuri tu kuacha kutuma maombi,kwani huwezi endelea kuwa follower tena kazi za serekalini,akasante kwa hilo.
   
 14. Davich

  Davich Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabisa na pia niwachache sana wanaotafuta kazi wakiwa na pesa za kuinunua,kuna jamaa aliambiwa kazi atapata akaitwa interview ya kwanza akapigwa chini na pesa ikaenda.
   
 15. Davich

  Davich Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nayo ni mbinu lakini sio kama kununua maji yauhai popote,Tangaza ulozi hapa nikaloge.
   
 16. Davich

  Davich Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx Bro kwakuuona ukweli,maana nimapambano ambayo hujui unapambana na nani bali unashangaa kombora limepita kwa kishindo tuu.
   
 17. Davich

  Davich Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aksante kiongozi ila nimchaka mchaka usio eleweka,mpaka unaweza kushangaa,nikweli ulilo liona.
   
 18. Davich

  Davich Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwa wanaita japo ndio kama hivyo.
   
 19. m

  mamboko Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakumwa mimi nilifanya interview pale mucbs( ushirika) nilikuwa peke yangu kwenye field yangu lakin cha kushangaza walitwa watu wengine, na interview ilikuwa simple ile mbaya, halafu jamaa hawajui vitu yaaani wako shaloinle mbaya mmoja wao akaniliuza what is vpc bninamwambia pardon akaridia i say what is vpc mimi nikamwambia doyou mean cvp analysis or vcp, baada ya hapo mama mmoja akasema mtahiniwa uka sawa ni cvp. Nilivyojua hivyo nikawapiga lecture ya kufa mtu, na hata wajumbe wote wakawa wanatabasamu na kurahi lakin dingi mmoja nafikiri tayari alikuwa na mtu wake. Kwani alikuwa kanuna ile mbaya n acha ajabu tulipanga hotel moje pale moshi view
   
 20. m

  mamboko Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pale mzumbe nao wazushi eti nafasi moja watu wameitwa 8 is it fair mkubwa
   
Loading...