Takukuru mulika tume ya ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Takukuru mulika tume ya ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mamboko, Jul 3, 2012.

 1. m

  mamboko Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok mimi ni muelewa mada tuitoe kama ina uchochezi
   
 2. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Takukuru si ndiyo wale wale ...ama??????
   
 3. p

  panadol JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtoa maada kukosa wewe kazi ndiyo tatizo,unaweza fanya interview ata mara mia kama ukikosa usilaumu inawezekana hujafaulu vizuri jipange tu utapata wala si kulaumu mbona watoto wengi wa wakulima wanapata ajira kupitia usaili unaofanywa na tume ya ajira pale utumishi,kama uechunguza vizuri watoto wa wadau wanakimbilia kwenye mashirika ya umma kama nssf,tra,nida,nhif,ppf,ssra,tasaf,ewura,sumatra,PTA na kwingineko haya mashirika usaili wanafanya wenyewe ndiyo kuna rafu za kutosha afadhari ata utumishi cha msingi ni kuwaomba tu waboreshe huduma zao lakini kwa kuta haki tume ya ajira inajitahidi sana watu kibao wanapata ajira serikalini hwana ndugu wala mtu wa kuwabeba ! Mtoa maada mbona hulalamikii sekta binafi kama vile vodacom,Tigo,Airtel,NBC,NMb,CRDB na kwingineko kama unavyo vigezo si lazima ufanye kazi serikalini kukosa kwako ata kama umefanya sana usaili isiwe ndiyo chanzo cha kulumu jipange vizuri ukiona hivyo huwa unafeli kwenye usaili usiseme jambo na kulaumu kwa taarifa za vijiweni ongea jambo ukiwa na ushahidi nalo kulaumu tu si vizuri mwisho wa siku tutajenga taifa la watu goigoi wasiojishugulisha ambao kazi yao ni kulaumu tu!
   
 4. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba maoni yote ya Mkuu Panadol, yaingie kwenye Hansard ya JF lkn pia mtoa mada/mleta Thread anaweza kupima mwenyewe kama akigundua Hoja yake haina mashiko anaweza ama yeye binafsi kuifuta hii post ama kuomba msaada kutoka kwa Mods wamsaidie kuifuta kwani ameupotosha umma na kauli zake ni za kichochezi zisizo na ushahidi wowote.
   
Loading...