Maswali ya kuiuliza pannel kwene interview

chipalila1

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
259
31
Wadau naomba mwenye uzoefu na hz interview n maswal gani ambayo natakiwa ku uliza endapo nitaewa nafasi na pannel nitakapo kuwa kwene interview. plz maswal ambayo ni general
 
Waulize:mnafanya nini kukabilina na changamoto ya ushindani ili muendelee kufanya vizuri kwenye soko?
 
Uliza: hii bodi inasaidiaje kuleta usawa wa kidini na ukabila katka utumishi wa umma???

Pili: Vp ajira za TISS mbona hawashughuliki nazo????

Tatu; Akiwepo binti mzuri, omba namba

@PJN at Mtwara Gas City
 
ulizia juu ya training opportunities zilizopo kuboresha utendaji wa watumishi wake hapa usiulizie long-term training km degrees bali inhouse training au outsourced training
 
Uliza mipango yao KUPANUKA na kuongeza MATAWI zaidi...
 
Uliza: hii bodi inasaidiaje kuleta usawa wa kidini na ukabila katka utumishi wa umma???

Pili: Vp ajira za TISS mbona hawashughuliki nazo????

Tatu; Akiwepo binti mzuri, omba namba

@PJN at Mtwara Gas City
Huko ndio akili yako ilikolala...hongera.
 
uliza when the interview results will be out last washukuru kwa kufanya nao interview and then usiwe na maswali mengi hadi unaboa
 
Uliza: hii bodi inasaidiaje kuleta usawa wa kidini na ukabila katka utumishi wa umma???

Pili: Vp ajira za TISS mbona hawashughuliki nazo????

Tatu; Akiwepo binti mzuri, omba namba

@PJN at Mtwara Gas City

TISS ndo secta gan hyo? Hzo 2 za juu nmezpenda.
 
uliza when the interview results will be out last washukuru kwa kufanya nao interview and then usiwe na maswali mengi hadi unaboa
correct answer!,
au pia unaweza kuuliza hivi:

"if I get this job, when do you expect me to join?" (ukitaka kujua watakuhitaji lini baada ya kukuchukua, siku 2, wiki au mwezi. hapa ni kama itatakiwa kuacha kazi sehemu uliyopo currently ili uweze kujiandaa na resignation, THIS IS VERY IMPORTANT).
 
iliona vipi kaa kimya sometime wengine ukiwauliza wakuona kwamba wewe ni mjuaji sana hasa zile kazi ambazo tayari wadau wwapo, ila kama kazi haina upendeleo mzee hapo shwari
 
TISS ni USALAMA WA TAIFA......................... Mbona ajira hizo hawatangazi tukaombaa???????????????????
 
Back
Top Bottom