NM-AIST shortlist

Mbulumundu

Member
Dec 19, 2011
10
4
Wadau
Kwanza naomba radhi kwa kutokuwa na update yoyote kuhusu ajira za Nelson mandela Arusha mpaka sasa. Naomba kwa yeyote mwenye taarifa atudokeze!
 
Mkuu hii kitu inaelekea kuna kitu kimetokea manake haiwezekani dead line ya apllication za kaz iwe 31 dec 2011 alaf mpaka leo april 12 hakuna cha intv wala nn!

wenye detail watujulishe
 
Labda niwasaidie vijana,inawezekana uliyetoa thread ukawa unawasaidia pia wengine wanaotaka kuelewa,kifupi hii ni taasisi mpya na vibali vya ajira vinatoka hazina,ila kwa kuwa wameshateuliwa wakuu wa chuo kwa maana ya Mwenyekiti wa Bodi (Prof.Mwakyusa) na Mkuu wa chuo(His execellence Dk.Bhilal) mambo mengine yatakuwa sorted soon
Patience is a key to success
Regards
 
Wakuu taarifa za uhakika nilizonazi ni kuwa Nelson Mandela Unuversity hawaja shortlist kutokana na ukwli kuwa kuna kozi walizianzisha ambazo kuanza kwake kufundishwa ndipo wangehitaji watu kama walivyokuwa wametangaza kazi. Kilichotokea ni kuwa kuna majengo mapya wanayoyajenga hayajakamilika hadi sasa hivyo hata hao wanafunzi hawakuchukua hivyo kama wakiajiri kwa sasa hao watu watakuwa tu idle bila kazi ya kufanya ndiyo maana wamesitisha zoezi hadi wakamilishe hayo mambo ndipo wataita watu kwenye interview.
 
tunashukuru kwa taarifa.
 
Je kama wanasubiri majengo yakamilike watatumia application zilizopo au watatangaza ajira upya?
 
Ndugu!!!kama ni kazi ya u lecturer watu wameanza kazi,nina jamaa yangu yuko hapo anafundisha ameanza last month,ki ukweli pale pazuri!!may be kama uli apply kitu kingine ndugu yangu...Huo ndio kweli ninaoujua pitia huyu jamaa yangu ambaye yupo hapo.Thanks bro!
 
hata mimi kuna jamaa yangu nilifanya naye interview somewhere kwa sasayuko pale so, i dont know kilichotokea ni nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom