Kuitwa kazini zimamoto na uokoaji

Mzanzibar

Member
Sep 20, 2011
36
2
Jana mda wa saa saba jamaa yangu alipigiwa kuripoti leo saa mbili asubuhi, je ni kwamba wameanza kuita waombaji wa dar mikoani baadaye? anayejua anipe ripoti
 
Nashindwa Kuelewa....Yupo Mwanangu M1 2liomba Nae Iyo Kazi Jana Naye Kaitwa....Au NDo Utaratibu Wao,Ngoja 2subiri 2one! Na Kwann Wasitoe Majina Ktk Media Kama Tacc Zingine? 2subiri Bana Mana Ata Me Nliomba!
 
huyo jamaa yako alikuwa na fani gani? make wangu alikuwa dereva,na amenipa ripoti soon kuwa walioitwa hata 50 hawafiki,
 
Ninaposoma na kuona hii suspense mliyonayo wakati huu, naumia sana moyoni sema tu uwezo sina. Poleni jamani ila yana mwisho haya mtafanikiwa uvumilivu muhimu!
 
ajira imekuwa taabu lakini hauwezi amini kwamba nao hawa jamaaa walikua maskin kama sisi ila wametugeuka
 
vp kuhusu watu wa mikoani tutapateje taarifa kuhusu haya majina ya zima moto na uokoaji maana siwaelewi na kuna mtu atakua anajua naomba anifamishe samahan lakini
 
Ninachotak kujua ni kwamb, majina ya waliochaguliw yametoka au bado?
Majina yote yapo tayari,ila watu wa magazeti wanagoma kutoa hadi walipwe milioni themanini za matangazo ya awali,ila vyovyote iwavyo mafunzo yanaanza wiki ijayo.
 
vp kuhusu watu wa mikoani tutapateje taarifa kuhusu haya majina ya zima moto na uokoaji maana siwaelewi na kuna mtu atakua anajua naomba anifamishe samahan lakini

Majina huwa wanatoa kupitia magazeti ya Uhuru,Habari Leo,DailyNews na Mwananchi. So mara usikiapo wametoa fuata gazeti mojawapo kati ya hayo kwa tarehe husika.
 
Jaani mtaua watu hili tangazo mbona la tarehe 5 july 2012 au mnawarusha watu wa mwaka huu roho acheni kutabr vtu viumzavyo nafsi watu wameshasota kitaaa sana
 
Back
Top Bottom