Urasimu utumishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urasimu utumishi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mamboko, Jun 27, 2012.

 1. m

  mamboko Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakubwa ni bora ajira ingeenelea kutolewa kwenye kila taasisi maana usanii wa utumishi unatisha kwanza wao wenyewe hawana sifa za kumuiterview mtu ila wamejaa husuda tupu
   
 2. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wanadai walikusudia kupunguza vimemo kwenye taasisi , ila kwa kweli vimemo vipo hata huko kwenye secretariat ya utumishi.
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Dah, ingekua taasisi, ningekwisha ajiriwa by nw, ngoja 2subir intaview za kazi zilizotangazwa juz kati.
   
 4. Nyamtala Kyono

  Nyamtala Kyono Senior Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  juzi juzi nilisoma comments za mtu mmoja humu akilaumu recruitment process ya TRA na akaisifia ya tume ya utumishi...akaenda mbali na kusema eti process za kuajiri za TRA zipelekwe utumishi..NIKAMSHANGAA MPAKA NIKAMUOGOPA. ukilinganisha na taratibu za mashirika mengi ya umma bado TRA wana unafuu kidogo pamoja na magumashi yao-kama yapo.

  Kifupi wengi huwa wepesi kulaumu na wakati mwingine hatujui hata undani wa mambo. Taratibu za kuajiri za mashirika mengi ya umma si nzuri. Tena ukiwa competent,kwa utaratibu wa tume ya ajira utafeli tu...afadhali hata TRA au BOT,kama uko competent utaonekana tu na unaweza kupata ajira pamoja na hayo magumashi yao yanayolalamikiwa.
   
 5. m

  mamboko Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 6. d

  dundula JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 541
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu danganya wasiojua! TRA na BOT hawafai daima ni wapuuzi wakubwa udini na ukabila ndo ngao yao
   
 7. p

  panadol JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama ni taasisi mbona Tra,nssf,Tpa,Ewura,Sumatra,nhif wanatangaza mbona huko hupati?jamani twende mbele turudi nyuma kiukweli ni bora hawa utumishi wapendelee na jukumu la kuajiri watumishi wa umma kuliko taasisi zenyewe huko kuna urasimu wa kutisha na ndiyo maana taasisi zimejawa na makabila fulani kisa wakurugenzi wanatokea kabila fulani,ata kama utumishi kuna urasimu basi ni kidogo sana lakini kwa hizi taasisi zinazoajiri zenyewe urasimu ni mkubwa sana na ni wa kutisha mimi nashauri tuiombe serikali ichukue jukumu la kuajiri wafanakazi wote wa serikali pamoja na taasisi zote mfano TRA,Nssf,Nida,Tanesco,Ewura,Ssra,TPA,Nhif,Pspf,Ppf, na taasisi zingine zote za serikali mwajiri awe ni Utumishi ili kupunguza urasimu lakini hizo taasisi zote zimetawaliwa na urasimu kwa kiasi kikubwa sana bora jukumu lote la ajira za serikali na taasisi zake wapewe Utumishi!
   
 8. K

  Kimboko Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ndugu tupo pamoja, mimi kila kazi inayotoka kupitia tume ya ajira tangu january sijaitwa na hakuna aliyeitwa; sasa ina maana ata wale wanaopeleka hitaji lao kwao wanafanyaje kazi ingali watu hawajaajiriwa??? Huu ndo UDHAIFU WA SERIKALI UNAOZUNGUMZWA lakini hawataki kukubali. Mijitu imekaa maofisini inawaza wizi tu badala ya kufanya kazi huu ni upuuzi.

  Kama wameshindwa kazi warudishe utaratobu wakila taasisi kuajiri wenyewe. DHAIFU DHAIFU DHAIFU mpaka basi AAAhh
   
 9. K

  Kimboko Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utumishi wenyewe mbona hawajaita interview hadi leo ndugu, mbona hujionei huruma au una kazi nini mwana!! Wenzio hatuna kazi tangu tumetoka chuo. Utumishi hawafai kabisa kufanya hii kazi.

  Bora wapewe ata internation recruiters ambao hawamju Kilahunja wala kimboko tungepata hizo ajira. Alafu Ajira zenyewe wanaweka masharti kibao, kaangalie Mshahara wenyewe utatamani kumpiga mtu makofi!!!
   
 10. m

  mamboko Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi kama mdau i say utumishi hawana lolote lile zaidi ya kupata night za kwenda kufanya interview huko mikoani. ukikutana nao mahoteilini wanataka uwaabudu kama mungu, kwa hilo mimi siliwezi bora nikalime kwetu kijijini. lakini kwanini watanzania tumegubikwa na urasmu wa ajabu kiasi hicho.
   
 11. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hahaha kwikwikwi
   
 12. K

  Kimboko Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu mimi nakuunga mkono asilimia mia moja na moja!!!

  Hivi hizi taasisi zinazohitaji watumishi tangu mwaka jana wanafanyaje kazi hadi leo.

  Hii ndio udhaifu maana tukizungumzia udhaifu siyo wa raisi peke yake, ni wa kila mahali serikalini na watu wa chini ya raisi ndo wanafanya aonekane dhaifu.

  WAFUTILIE MBALI HII TUME YA AJIRA!!!
   
 13. S

  Sother New Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nafikiri njia muafaka siyo kuvunja tume au kurudisha ajira kwenye taasisi husika. Swala ni kumomonyoka kwa maadili ya utumishi wenyewe toka kwenye utumishi unaoajiri hadi huko kwenye taasisi husika. Rushwa, urasimu, ukabila, kujuana n.k. kumetawala watendaji wetu kuanzia chini hadi juu kwa wenye nafasi za kufanya maamuzi. Tutarudisha maadili na kufuata sheria ndiyo swala kubwa. mabadiliko yataanzia kwetu tunatafuta kazi. Leteni Mapinduzi vijana acheni kulalamika tu. Come up with some solutions.
   
 14. c

  cielo Senior Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani ni bora utumish isingekuwepo, kujuana tu kule. Asa kama zile nafas 100 za auditing watu tayari walikuwa na pepa. Wanaita watu kwny interview huku tayar wana watu wao. Hii nchi bwana
   
Loading...