Itabidi Lowassa akirudi toka Ujerumani akamatwe nae aingie Lupango kwa kutoa rushwa akiwa nje ya nchi badala ya kusguhulikia ugojwa unaomsumbua hata kuamua kwenda kutibiwa kimya kimya!!!
Pinda anahusika na akaamua kumuweka mtu wake aitwaye Paul Kimiti ili wale vizuri na JK akaiona hiyo akamtosa ila bado hajakubali sijui itakuwaje. Tusubiri tuone!
wa
Kwa hili nakuunga mkono kwani mama huyu mimi namfahamu vyema!! Watu watasema mengi ila kwa kazi hii hakuna anaemshinda Bi Amina. Mi Mtakwimu, Mtaalamu wa Komputa na mwana hisabati. sasa mtamkamatia wapi? Hii ni sensa yake ya tatu kushiriki katika uchambuzi. Muwe mnatafuta CV za watu sahihi...
Kinachosubiriwa ha hao wa TZ washinyaka kumfungia ofisi ni kipi? hawajawahi kusikia Mkurugenzi mmoja kule Muhimbili alivyofanya na madaktari akatimuliwa ofisini na bila shaka nchini pia?
Kweli huu mzigo si wake na wanaosubiri tamko watasubiri mpaka kiama. Mwakamyembe analo faili la ugonjwa wake wote ambalo kapewa na Madaktari wa Apollo India na alishirikishwa katika hatua zote za uchunguzi huko india kwani ndio utaratibu wa hospitali ya apollo. Baada ya kupata uhakika huo kuwa...
Kwa UWT wote hawa wawili Kilango na Simba hawafai kuiongoza. Wanafaa wakaendeleze majigambo nje ya UWT. Kazi yao kubwa ni kuonyeshana ubabe na si kuisaidia Jumuia. Inafaa wengine wajitokeze zaidi na mapema ili tuwafahamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.