Mwl mrundi anyanyasa watz shinyanga sec.

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,048
5,092
Sina nia ya kumchafua mwl huyu mwenye asili ya Burundi anaitwa Prudence, ushahidi ninao. Anafundisha PHYSICS na CHEMISTRY form 5 & 6 pale SHINYANGA SEC kwa miaka mingi amekuwa akifelisha maskini wa kitanzania. Jina lake maarufu ni mzee wa USHIRIKIANO. Makosa yake ni:
1. Haingii darasani mpaka mchange pesa
2. Ana tabia ya makusudi ya kuzira darasa mkimshitaki au msipompa pesa a.k.a ushirikiano
3. Practical za form 6 anaharibu mtu huwezi pata data. Watu wake anawapa data
mi ni muhanga wa hili, tufanye nini kuokoa watoto na wadogo zetu? Nawasilisha
 
warundi wanafikiri wapo juu kuliko watanzania,nimemwona mmoja anagombana na mtanzania,mrundi akasema watanzania ni watu wa ovyo lakini warundi wana maisha standard,nikamwuliza maana ya maisha standard akashindwa kuthibitisha,nikamkumbusha jinsi wanavyokatana mapanga kwao na kukimbilia tanzania,kwa kweli tuna wakati mgumu sana
 
inasikitisha hasa huyu ambaye anaua ndoto za watu
 
Si mgome afukuzwe,kwanza ana work permit ya tanzania au yupo kiujanja ujanja tu?
 
Mrundi (mhutu) ana roho ya kwanini sana, Mtusi yeye ana roho ya kutaka kutawala. Wote hawafai kuwa majirani zako, wala wakwe zako
 
tunapoteza madaktari wengi kwa sababu ya huyu jamaa
 
Dah! bado yupo maana me nilipita 2008 ali2felisha kwenye practical no data mpaka mwisho big up sana kwa mwalim masama ali2saidia sana mpaka nikapata credit za chuo.
 
Sina nia ya kumchafua mwl huyu mwenye asili ya Burundi anaitwa Prudence, ushahidi ninao. Anafundisha PHYSICS na CHEMISTRY form 5 & 6 pale SHINYANGA SEC kwa miaka mingi amekuwa akifelisha maskini wa kitanzania. Jina lake maarufu ni mzee wa USHIRIKIANO. Makosa yake ni:
1. Haingii darasani mpaka mchange pesa
2. Ana tabia ya makusudi ya kuzira darasa mkimshitaki au msipompa pesa a.k.a ushirikiano
3. Practical za form 6 anaharibu mtu huwezi pata data. Watu wake anawapa data
mi ni muhanga wa hili, tufanye nini kuokoa watoto na wadogo zetu? Nawasilisha

Vipi bado mikate yake ipo? ni kweli kabisa hiyo miaka ya 2011 alikuwa anawafelisha vijana kisa hawajanunua mikate yake. Hivi yeye ana work permit ya milele? kwani hata kina Mbanga walishaondoka lkn yeye bado tu? Vipi Mwalimu wangu wa Uchumi Nyaraja bado yupo? mpe hi sana.
 
Nyaraja ni Afisa Biashara wa wilaya ya Kishapu muda mrefu na alikuwa anafanya masters degree SUA mwaka jana. Yule mjinga prudence namkumbuka sana na mikate yate tulikuwa tunaiita colgate aliwatesa sana jamaa wa Science.
Ana kisasi balaa.
 
Dah! bado yupo maana me nilipita 2008 ali2felisha kwenye practical no data mpaka mwisho big up sana kwa mwalim masama ali2saidia sana mpaka nikapata credit za chuo.

masama yuko nganza baada ya kutishiwa maisha. Yule bwana ni muuaji
 
Anachokifanya ndicho kinachofanywa na walimu wengi wa science kwenye shule za umma,especially walimu wenye uwezo mzuri wa kufundisha!Mambo hayo pia yanafanywa na madaktari bingwa pale muhimbili university.Chanzo kinaelezwa kuwa ni frustration kutokana na mapato yasiyowiana na juhudi walizowekeza kwenye elimu yao.Serikali ilitangaza mpango wa motisha kwa walimu wa science tz,upo wapi?Tumtumie huyu mwalimu kama mfano bila kuzingatia urundi wake then tujadili ufumbuzi wa kitaifa.Hili tatizo ni kubwa,nadhani kwa shule za umma zinazofundisha science wananusurika Mzumbe na Kibaha sec tu kutokana na non-governmental support kidogo wanayopata.
 
E.coli shida ya huyu mwl ni kuwa hana
chembe ya huruma. Anapenda pesa kuliko ubinadamu na hivyo kuua ndoto za watu
 
Sina nia ya kumchafua mwl huyu mwenye asili ya Burundi anaitwa Prudence, ushahidi ninao. Anafundisha PHYSICS na CHEMISTRY form 5 & 6 pale SHINYANGA SEC kwa miaka mingi amekuwa akifelisha maskini wa kitanzania. Jina lake maarufu ni mzee wa USHIRIKIANO. Makosa yake ni:
1. Haingii darasani mpaka mchange pesa
2. Ana tabia ya makusudi ya kuzira darasa mkimshitaki au msipompa pesa a.k.a ushirikiano
3. Practical za form 6 anaharibu mtu huwezi pata data. Watu wake anawapa data
mi ni muhanga wa hili, tufanye nini kuokoa watoto na wadogo zetu? Nawasilisha

Kinachosubiriwa ha hao wa TZ washinyaka kumfungia ofisi ni kipi? hawajawahi kusikia Mkurugenzi mmoja kule Muhimbili alivyofanya na madaktari akatimuliwa ofisini na bila shaka nchini pia?
 
mamatau, shida yake ni kwamba anatumia mbinu ya watenge uwatawale. Anadili na watoto wadogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom