Anguko la CHADEMA sasa ni dhahiri

Du huyu jamaa hajui alinenalo. Kusoma anajua, ila picha hajui kuangalia pia na komputa aliazima kwa jirani yake hivyo alikuwa an haraka apost nn? Ili watu tujue kuwa nae anaweza kutmia computa. Mimi naomba awe blocked ili asiendelee kupost utumbo wake humu. Rabbish!!! CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.
Uzuri wote ni wa CDM, hata ukitaka kuwatenganisha hawatengani.
 
Aiseee! inabidi ukachunguzwe akili. Swala la kuiwajibisha serikali Zitto alisema NI LA KITAIFA afu wewe unasema cdm inaanguka!!!! Acha kujitafutia matusi we GAMBA kwa thread kama hii!
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

off point
 
Ni dhahiri kabisa wewe unafikra finyu! swala la KULIOKOA TAIFA wewe unasema ni anguko la CHADEMA! Hivi kweli wewe GAMBA unaipenda nchi yako??!! Amakweli MAGAMBA ni MATATIZO.
 
Mkuu siku zote ukweli unauma, mkuu sio siri hata huyo Nape hanijui sijatumwa na mtu yoyote yule bali nimeamua kuwasilisha ninachoona ni dhahiri.
basi kama hujatumwa unafikiri kwa kutumia masaburi.....sababu mtu mwenye akili timamu inayomleta mpaka humu jf akitumia ubongo kufikiri hawezi kuandika kile ulichoandika!
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

Wewe gamba kama hauna cha kuongea ni bora ukalale kwenu.Toa pumba hapa.
 
Mtu wa Mungu hayo ya kwako! Labda kama unataka kuvuruguruga jamvi linaloshonwa na watu wenye machungu na nchi hii.
 
nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na tindu lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge zitto kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

yani hapo kwenye red ndo palipokufanya uanzishe hii thread,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ama kweli nchi hii wafuasi wa gambaz wengi wao ni zaidi ya vichaa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, nilishtuka nikajiuliza kuna nini tena kumbe kuna kichaa mmoja wa magamba kapagawa.............. Unajua maana ya anguko? Au hilo neno umelisikia leo.........kwa hiyo sentensi yako anguko liko wapi?
 
Unapoandika jambo jaribu kufikiri kidogo kuhusu wasomaji wako. Au nia yako ni nini hasa?
 
shida kubwa ya watanzania ni kukosa uzalendo tu. Unawezaje kushangilia kuanguka kwa cdm wakati wanakusaidia mambo yako yaende vizuri?
..ndugu yangu acha ujinga cdm hawana tofauti na magambazi mpaka sasa wametusaidia nini kama unavyosema wewe mjinga au kwenu kilimanjaro nini, tatizo la viongozi wetu ni kutaka uongozi wa juu kwa garama yoyote, hakika kilichosemwa kipo kama hakipo kiko mlangoni haifiki 2015 cdm itakuwa imesambaratika kama waliopita.
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

Unataka wapakatane ndiyo iwe ishara ya mshikamano?
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.
Mmh! Hata wewe unataka kujibiwa? Tutawajibu hata vichaa humu.
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.
Na bado mtahunyahunya na kupayuka payuka hadi povu liwatoke. Naona mnatumia terror tactics za kuwaua wapiganaji wetu lakini kumbukeni ule msemo wa Yesu kwamba wapiganao kwa upanga hufa kwa upanga. Mmeua na kumwaga damu Igunga, Mwanza, Arumeru na serikali yenu ya wahuni na majambazi inachekelea tu; ipo siku watu watasema "Tumechoka" wataamka na mapanga, majembe, nyundo na kusema "Kama noma na iwe basi. Hapo ndipo mtakapokosa hata pa kukimbilia. Kumbukeni damu ya mtu haipotei kamwe. Kama CHADEMA kama chama kimeshindwa kuwashughulikieni basi ngvu ya umma itasimama kujitetea na msilie faulo maana hakuna atakayesalimika.
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

Zitto Kabwe ni mmoja wa wenye malengo binafsi. Amejiweka informer wa CCM na sasa anaihujumu bila aibu. Laaana za CCM zitammaliza.
 
Fisi akifuatilia mkono wa binadamu udondoke ili apate chakula. Kumtofautisha muanzishaji wa uzi huu na Fisi ni vigumu.
Hata hivyo anaruhusiwa kuendelea na kazi yake kama anao ina tija.
 
Nakubaliana na wewe, hapa mtaani kwetu mwenyekiti wa tawi la CDM na Katibu wake usiku wa jana wameshikana mashati; kweli hiki chama ni uvunjaji wa amani tu

Kushikana mashati zaidi ya Omari nundu na mwenzake? Kuliko Kikwete na Lowassa kuhusu Dowans. Unajua mnajidanganya kama wadanganywavyo ndugu wa marehemu kwa kuimbiwa nyimbo na kuelezwa kuwa ataenda mbinguni na wanaobaki kuamini kuwa ata rest in peace. Kama marehemu alikuwa hajatubu basi ujue imekula kwake. Nyie mnajipa moyo wa kijinga kabisaaaa ili muone bado mpo ila ki ukweli CCM kwishney.............Kanjibai wakubwa nyie.
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

Maskini!kunywa sumu ufe huku unajiona.
 
Back
Top Bottom