Inauma sana waTZ tunavyochotwa akili, tunapenda kufanywa wajinga. Hii ya laptop kwa kila mwalimu mh, lakini bado utashangaa wengi tutawapa a big yes mwisho wasiku, okt 31. Hapo ndo ujue waTZ hatujui tunachotaka, hebu tubadilishe sura za mjengoni basi kama hatuwezi kubadili uongozi wa juu, japo...