Yuko wapi?

mamah

Member
Apr 8, 2009
31
70
yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31?
 

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,310
2,000
yupo nilimshuhudia akisema yaliyotokea yote aliyatabiri........na CCM wajirekebishe maana upinzani umekuja juu.....lakini hata yeye anapenda upinzani.....ni mzuri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom