Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

Yule nanihii wa zitto, omaryilas, mbona hajaonesha "utiifu" wake kwa zitto kwenye hii thread?

Kwa niaba ya Zitto naomba msamaha, naamini amesikia, ameelewa na yupo katika wakati mgumu. Duniani kuna mitego mingi sana; unapotegewa mtego ni lazima uwe na akili ya haraka ya kuutambua la sivyo utakunasa.
hapa Zitto kategwa na Chadema imetegwa pia. Inatakiwa Busara kubwa kutegua mitego hii. Pole Chadema na Zitto pia. Tuanze kurasa mpya wa utendaji bila kukomoana. Watanzania tupo nyuma ya Chadema Tunaiamini, Tunaipenda na kwa sasa ninavijana zaidi ya 10 wanataka kadi za chadema, Vyuo vikuu wanataka Chadema, Machinga wanataka Chadema, sasa wapendwa wangu tusiangushane.

Chadema tupeni raha, malizeni mgogoro huu, baba Slaa tunataka kusikia sauti yako juu ya hili, najua umeumia kuona Zitto hakufanya jitihada zake Kigoma na hata jimboni kwake kura za Chadema hazikutosha lakini baba Slaa sema na umalize mgogoro huu. Dr Slaa watanzania wanakuamini watakusikia na kukuelewa. Nakuomba Sema kichungaji kabisa kwa wakati kama huu.

Mkuu unaharibu. Utaombaje msamaha kwa niaba ya mtu wakati yeye mwenyewe anaweza kufanya hivyo? Mi naona unakuza mambo bila sababu ya msingi.

If this is true which I doubt it is....... (mchawi ni huyo anayevujisha siri za chama) kama ni kweli hii imeliki vipi? kwahiyo kuna kidudu mtu anyevujisha siri..... Kama ameweza kuzileta huku je atashindwa kuzipeleka CCM? Siasa za Bongo bwana, very amauterish

Tuwaombee afya njema yeye Zitto na Arfi maana wote wamelazwa Aga Khan Hosp

Nimezungumza na Frederick Katulanda yule Mwandishi wa Habari wa Mwananchi, amesema ni kweli katika semina hiyo ya siku mbili wabunge wa Chadema wamepiga kura za kutokuwa na Imani na naibu kiongozi wao wa kambi ya upinzani Zitto Kabwe, na kura zilizoshinda ni zile za kutokuwa na Imani naye, Zitto alitambua hilo kwani lilikuwa wazi katika ratiba, hivyo Presha ilimpanda na kuamua kurudi chumbani ili asishuhudie hali hiyo ikitokea, huko baadaye inasemekana alipelekwa Aga Khan kulazwa.
Kwa hiyo kilichotokea ni kuwa amepigiwa kura za kutokuwa na imani wa wabunge tu, kuvuliwa ni mpaka kikao cha chama ambacho kinatarajiwa kukaa kesho Dar, huko wakithibitisha kura za wabunge basi Zitto atavuliwa rasmi uongozi wa kambi ya upinzani na kubaki mbunge wa kawaida kama Mnyika, Wenje au wengineo na siyo kiongozi wa upinzani.

Hapo chadema wamekosea watanzania hawatawaelewa,itaonekana mumemuonea kwadiniyake na pia mtaambiwa mna ukabila na ukanda, mjiandae kwa ushahidi kamili wakuwajuza watanzania tofauti nahapo hamtaeleweka na chama kitayumba na wasioipenda chadema watapata pakuharishia uchafuwao dhidi ya CHADEMA ni ushauri tu msinichukie.
hivi alicho kifanya zito angekifanya kiongozi yoyote mwenye wazifa kama wazito ccm ingekuwaje...

Nimezungumza na Frederick Katulanda yule Mwandishi wa Habari wa Mwananchi, amesema ni kweli katika semina hiyo ya siku mbili wabunge wa Chadema wamepiga kura za kutokuwa na Imani na naibu kiongozi wao wa kambi ya upinzani Zitto Kabwe, na kura zilizoshinda ni zile za kutokuwa na Imani naye, Zitto alitambua hilo kwani lilikuwa wazi katika ratiba, hivyo Presha ilimpanda na kuamua kurudi chumbani ili asishuhudie hali hiyo ikitokea, huko baadaye inasemekana alipelekwa Aga Khan kulazwa.
Kwa hiyo kilichotokea ni kuwa amepigiwa kura za kutokuwa na imani wa wabunge tu, kuvuliwa ni mpaka kikao cha chama ambacho kinatarajiwa kukaa kesho Dar, huko wakithibitisha kura za wabunge basi Zitto atavuliwa rasmi uongozi wa kambi ya upinzani na kubaki mbunge wa kawaida kama Mnyika, Wenje au wengineo na siyo kiongozi wa upinzani.
Why is this leaking?.... why? why? why?

Naubiria Invisible/MMJ aje athibitishe madai haya ndio niweze kuamua kama nifurahi au nikasirike; binafsi sikubaliani na mtindo wa zitto kujiona kama ndio chama na hii itakuwa very special governor; we love chadema so much; we are ready for any thing for CDM; lakini we dont like wasaliti; kiongozi unapokuwa kinyume na wabunge wenzako je wasio viongozi wafanye nini? nakubaliana na wabunge kwa 100% kama kweli; ila ktk chama bado hajakosa kitu so anaweza kuendelea naona itakuwa mwanzo wa kuelewa kuwa watz sio mabwege tena kote kote na impunity in upinzani na wataonmyesha uongozi wa dhati; Napendekeza Vicent Nyerere awe naibu wa upinzani bungeni

Bila shaka kijana atajivunza kuwa HE IS NOT INFALIBLE AND INDISPENSABLE. But I am sorry about him he is ruining his bright career.

Hiki kidogo kinaudhi sana, kidogo kibishi kama nini? sisi tuko serious chenyewe kinatufanya sisi wa mwaka 47, sasa wakivue vyeo vyote tuone kama hakitahama maana kilisema eti hakitoki chadema. Hakuna haja ya kukifukuza uanachama, ila kiwe mwanachama wa kawaida na kikiendelea kuchimbachimba kirudisha na Kadi ili kiwe huru kurudi kwa wajomba au kiwafata wadogo zake.

IMG_7797.JPG
Mtoto wa Mkulima waziri mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kumtembelea mbunge wa Chadema Arf hosp ya Aga Khan

Hiki kidogo kinaudhi sana, kidogo kibishi kama nini? sisi tuko serious chenyewe kinatufanya sisi wa mwaka 47, sasa wakivue vyeo vyote tuone kama hakitahama maana kilisema eti hakitoki chadema. Hakuna haja ya kukifukuza uanachama, ila kiwe mwanachama wa kawaida na kikiendelea kuchimbachimba kirudisha na Kadi ili kiwe huru kurudi kwa wajomba au kiwafata wadogo zake.

Duh Mkuu Maneno yako makali sana yamejaa dharau na Chuki

Kuna wengine apa mmoja wao mie nimeijua chadema cz of zitto,yani huniambii kitu!haya majungu yote wtvr yanaingilia uku yanatokea kule!yani am zittomaniac!

I value him loads cz kani inspire sana ktk huu ulimwengu wa kisiasa!naona wanamsakama sana!

We behind u Zitto,just keep it real!some of us are beliaving in you!

wewe ni sawa na watu wanaosema ccm hawatoki kwa sababu ndio ilileta uhuru. open yr eyes buddy, hata mtoto umpendae akikosea anapata adhabu sio kwamba unamchukia is jus a "tough love". Go CHADEMA STAND 4 QUALITY NOT QUANTITY.

hivi alicho kifanya zito angekifanya kiongozi yoyote mwenye wazifa kama wazito ccm ingekuwaje...
ccm wangemwita ktk vikao vyao wakamuonya kwasiri ktk vikao nahuwa hawakurupuki wanakua makini ktk maamuzi yao,na wala habari zao hazivuji ovyo2,huo ndio ukweli mkuu

Hawa wabunge badala ya kuendekeza majungu ni vyema waelekeze nguvu zao katika kuwahudumia wananchi waliowachagua, 2015 sio mbali!!

Akiwa kama kiongozi Zitto alitakiwa aweke tofauti zake ndani ya chama, sio kutoka na kuwa vuvuzela la kuwashangaza wana CHADEMA kupitia media. Naunga mkono atolewe uongozi na kubaki mwanachama. Zitto ni moja ya walionivuta kuingia CDM, lakini unafiki wake sikubaliani nao, ana lake jambo aondoke right now.

ccm wangemwita ktk vikao vyao wakamuonya kwasiri ktk vikao nahuwa hawakurupuki wanakua makini ktk maamuzi yao,na wala habari zao hazivuji ovyo2,huo ndio ukweli mkuu

Mhh, inategemea wameumizwa kiasi gani, hawatabiriki hao, wanajua sana kuwashughulikia watu

Back
Top Bottom