Nimejionea kwa macho yangu....nimfanye nini huyu mwanamke?

Oosh sasa nimeelewa, manake ilikuwa umenichanganya na kushindwa kuelewa kwani mtiririko wako mzima wa habari haukuwa sawa nadhani ni kutokan na hasira. Nilichanganya kwa kutoajua anayenyonywa ni nani 'mwanamke' au msichana' manake kwa akili yangu ya haraka ilinipelekea kujua kuwa nyumbani mnaishi wanne yaani wewe, cousin wako na 'mwanamke' wako na 'msichana' nikiassume kuwa kwa mazoea ya kibongo unaposema msichana kwa tukio hilo na kwa kuwa ulishatumia mwanamke basi nikajua msichana basi atakuwa ni binti wa kazi.

Sasa baada ya kuelewa ulichokuwa unamaanisha mi naona huyo demu ni bazazi! Yaani kashindwa hata kukusubiria urudi kama ana njaa sana? Hafai hata kulumangila. Na hii inaonyesha wameanza muda hiyo kitu na pengine huwa wananyonyana ingawa unaweza kudhani cousin wetu ni mdogo. Usije kushtakiwa kupiga mzee, we jinyatue tu katika huo uhusiano na ulitoa mahali kachukue chako (kama una risiti lakini!!!!)
 
Kama ni kweli basi bongo noma....lakini kwa umri ule kunyonya huko ni vigumu sana labda alilazimishwa.
 
....msichana wako hana tofauti na ''MBUNGE MTARAJIWA'' Disgusting......unataka ushauri gani....aende kwao kwa amani, ikijulikana walikuwa wanasagana....arrgg!

Mtoto wa nzowi vipi tena?? mbona umewasha kubwa?
 
mmmmmmm what? is this a real life story? mshangao!!! sijui nianze wapi...mwezi mmoja unaishi na mwanamke...unataka kumuoa??sasa ako kabinti ka class 6 nako kaliforciwa ama|? mbonahakuripoti kwako? hapo sijui ufanyeje...bado upo cyber cafe ama usharudi home? ningekushauri usirudi home kwa leo...sleep over it and sober up first! good luck...mambo mengine hutaki kukumbana nayo!

sidhani kama ni true story... sorry!!!
 
mmmmm. labda huyo msichana wako umemzoesha kumnyonya chini tunakokusikia mkuu. naona ndo tabu, keshazoea kunyonywa imebidi abadilike na kuwa nusu msagaji. Inabidi tusiwanyonye wake/wachumba zetu.
 
Mimi nakuomba hiyo harusi uliyokuwa mbioni kuifanya na huyu binti uivunje kwa sababu hakufai kabisa kuwa mke wako kwa tabia zake chafu kupita kiasi.
 
Agrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!,mpe vitu vyake fasta aanze,huyo si mke ni balaa,yaani uko kazini anafanya upuuzi huo tena nyumbani kwako,je ukisafiri?,mfano mwezi mmoja au miwili si utakuta kila mtu hapo mtaani katembea naye?,hapo hakuna cha kujiuliza mara mbili!!!,hana sifa kabisa!
 
kaka mi sioni cha kujadili zaidi, kwa kifupi huyo mtu hakufai.. what matters the most ni wewe ujitahidi kumrekebisha huyo binti mdogo arudi kwenye mstari!.
pamoja
 
naona pole haitoshi. i wish kungekuwa na neno zaidi ya hilo. wewe ni mwanaume so tumia zaidi akili na uwezo wa kufikiri kuliko hisia
 
Da, dunia hii inatisha sana, what on earth was that chick thinking? yani i cant even think, just give us an update.
 
Da, dunia hii inatisha sana, what on earth was that chick thinking? yani i cant even think, just give us an update.

Haingii akilini kabisa kwamba alikuwa anafikiria nini....Ndio yale yale ya akina Babu Seya!
 
kuna watu wana roho za kishetani na wanatumiwa na shetani huyo wife wako mtarajiwa kweli peleka taarifa police kila nikifikilia hilo Tukio natamani kulia
 
mmmh hii kali, nakupa pole!
kwaufupi huyo msichana wako hafai...
inaonekana hako kamchezo anako tangu zamani.
piga yeye chini faster!
wasiwasi wangu ni hako kabinti ka drs la 6 kwani kameshaonja 'asali' labda kameshafanyiwa ha huyo dada!
mmmh....
 
Jamani tutaponea wapi? Maisha yanatufanya tutafute beki 3 kumbe balaa, ukisema umchukue ndugu ndo kabisaaa maana na lawama juu. Boarding taabu tupu. Yote hii ni kumomonyoka kwa maadili kwa hali ya juu. Tuombe na tutubu sana.
 
Peleka taarifa polisi. Hiyo ni statutory rape.

Hii haiqualify kuwa offence ya rape, kwani Section 130 ya Penal Code yetu haionyeshi kuwa MWANAMKE anaweza kubaka, isipokuwa inaweza kuwa offence of gross indecency between persons under Section 138A ya Penal Code CAP 16 [RE:2002] ambayo inasomeka hivi...

138A. Acts of gross indecency between persons.

"Any person who, in public or private commits, or is party to the commission of, or procures or attempts to procure the commission by any person of , any act of gross indecency with another person, is guilty of an offence and liable on conviction to imprisonment for a term of not less than one year and not exceeding five years or to a fine not less than one hundred thousand shillings and not exceeding three hundred thousand shillings; save that where the offence is committed by a person of eighteen years of age or more in respect of any person under eighteen years of age, a pupil of a primary school or a student of a secondary school the offender shall be liable on conviction to imprisonment for a term not less than ten years, with corporal punishment, and shall also be ordered to pay compensation of an amount determined by the court to the person in respect of whom the offence was committed for any injuries caused to that person".

Pole sana kaka, ni vyema ukiripoti polisi ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake..
 
Tena print kabisa hii uende nayo polisi, maana polisi wetu nao hawachelewi kukumbia hakuna keshi ya kujibu hata kabla ya kumfikisha mahakamani huyo mwanamke wako!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom