Recent content by MaliShambani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

    kaaazi kweli kweli
  2. M

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

    Ndiyo wapi huko?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo ili niweze kupata mkopo

    Jawi mi nikiwaga na shida iwe ni Tcu ama Heslib, huwa nawaibukia hewani moja kwa moja bila chenga! Simu wanapokea labda tu wawe bize na mambo mengine!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo ili niweze kupata mkopo

    Piga simu Heslib zungumza nao usikie maneno kutoka kwao. nadhani wanaweza kabisa kufungua ukurasa mpya kabisa kwa ajili ya mafanikio yako.. +255 22 2669039 Jiunge tu na kakifurushi ka kwenda mitandao yote kisha kong'oli kabisa mwana wane! Usiogope kuongea nao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unapenda kuvaa chupi ya rangi gani?

    duh! kumbe gilesi alianzia mbali sana aisee!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Iphone 6 November mosi

    mkuu una maana gan hapo kwenye red?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

    ila mkuu sijawahi ona nafasi zake za kazi, unasemaje hapo??? ama imelalia katika kujiajiri tu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    ushajiuliza hao wanaolima toka mwanzo wako wapi mpaka sasa? mkuu elimu ina umuhimu mkubwa sana katika kuleta mabadiliko katika nyanja zote za PESTEL, kumbuka lengo la elimu ni nini hasa, elimu si ajira!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuvunjika kwa kundi la vichekesho la Orijino Komedi

    Wapi wamesaliti mkuu? labda mimi ndio sijui maana ya usaliti...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuheshimiane humu Jukwaani

    aise.....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

    mkuu hii course uzuri wake ni nini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wivu: Mume amfungia mke ndani miaka mitatu mfululizo

    Miaka yote mitatu hata kelele hamna jamani? mbona kafa kifo kibaya kama wafuasi wa kibwetere? Sidhani kama nyumba hiyo haikuwa na madirisha, milango, wala majirani hawakuwep karibu? Huyo mwanamke hakuwa na ujasiri huo kweli? wataalamu wa masuala ya njaa wanasema kuwa 'an angry man has no...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kabla ya ndoa mambo huwa hivi

    aliyesema watanzania wana IQ ndogo alimaanisha nini? I laughed...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ogopeni kusoma kombi dhaifu

    aisee..
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Back
Top Bottom