Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,154
JamiiForums,
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Mtoa hoja wewe ndo dhaifu 100%. Hujajenga hoja kutuconvise nani alisoma strong course Tanzania na katufikisha wapi kama nchi?