Haya wewe mwenyeji wa simu za bei mbaya endelea kubaki na imani yako wala sio lazima ukubali nilichosema ila subiri mwezi ujao simu itatangazwa then utaona mwenyewe.
Mimi huwa nimekuwa naulizaga bei za simu mara kwa mara Posta, Iphone ni wagumu kushusha bei ya bidhaa zao na ni mara nyingi bei zao huwa wanalenga kwa watu wenye pesa zao na si walala hoi. 6 Mil sio mchezo, hiyo simu ikija imezidi sana Milion 2 kwa kuwa ndo inaingia sokoni. Naunga mkono ulichosema, hiyo simu haiwezi kuuzwa kwa Milion 6.