Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

well hapo PSPA hasomi account na hiyo ya 12, 15, 16 budget wanasoma semista ya mwisho mwaka wa 3 kwa udom, lakini kumbuka kuna option anaweza kusoma hizo 12, 15 na 16. Tatizo mnadhani PSPAwanasoma siasa pekee

Hivi wewee unadhani maisha ni kusoma engineering? Hapana kwanza nakwambia watu waliosoma public administration ,human resource ndio mabosi wenu ofisini nenda ofisi yoyote utakuta watu wa human resource na public administration ndio wanawaongoza ma engineer,madoctor,geologist,! Halafu ngoja nikwambie SASA kada ya human resource na public administration wana posho kibao wewe kaa sasa na mawazo yako mgando

kwanza for my view nahis hakuna koz iliokuwa sio muhim sema kwa maisha ya sasa Tanzania kama huna referee ndo kikwazo ila koz zote ni bora anae soma art science Kwan wangap wamesoma ma software wanapo kufanyia kazi? askutishe soma unachotaka mungu ndo director wako
 
Unajua watu wengi naona kuna kitu hatujajua ktk huu mfumo wetu wa elimu, asilimia kubwa sana ya course za chuo zinakuwa determined na performance zako na selection zako za masomo za o level, so hata hao wa art kama o level walikuwa vizuri kwenye, mfano hesabu, wanaweza wakasoma course za biashara!
 
well hapo PSPA hasomi account na hiyo ya 12, 15, 16 budget wanasoma semista ya mwisho mwaka wa 3 kwa udom, lakini kumbuka kupitia option anaweza kusoma hizo 12, 15 na 16. Tatizo mnadhani PSPA wanasoma siasa pekee

Hayo ni baadhi tu yapo mengine mengi ya HR na adm...
 
kwanza for my view nahis hakuna koz iliokuwa sio muhim sema kwa maisha ya sasa Tanzania kama huna referee ndo kikwazo ila koz zote ni bora anae soma art science Kwan wangap wamesoma ma software wanapo kufanyia kazi? askutishe soma unachotaka mungu ndo director wako

Ni kweli hakuna cozi isyo muhmu thats why zikaanzishwq
 
Hiyo kozi ni nzuri sana pia ni miaka michache imepita tangu waanze kutoa degree zake pale NIT, pia mkopo ni 100% na ni priority course kiongozi. Hope so hata kwenye soko la ajira haina ushindani sana.

ila mkuu sijawahi ona nafasi zake za kazi, unasemaje hapo???

ama imelalia katika kujiajiri tu?
 
ila mkuu sijawahi ona nafasi zake za kazi, unasemaje hapo???

ama imelalia katika kujiajiri tu?

Mkuu hii imebase sana kwenye kuajiriwa mfano bandari airport au viwandani sababu inadeal na management in distribution of goods kutoka sehemu moja hadi nyingine, pia inaweza ikawa katika kuimport na kuexport goods.
 
hata sayansi pia kwa hapa Tanzania bado sana walio na uhakika wa ajira labda watu wa afya,NAJUTA kusoma KEMIA
 
Hata ajira nyingi zilizopo ni chenga tu,mfano mtumish wa serkal fresh graduate unakuta anatake hme ya 500k,posho zikiwa nyiing sana labda laki jumla lak sita,hana mchongo mwingine yuko town kaz posta,maisha lazma yawe tight,maana yake ni elfu 20 kwa siku ambazo kuna watu wanaosha magari tu au wanauza maji ya madumu wanaweza pata mpaka elfu 15 na zaidi (uhakika nnao),hata mabaamaid au bar tender kwenye sehemu potential,wanafikisha hizo,kwa ujumla kaz za kuajiriwa tena in public service huwa zina changamoto sana,ukiacha machimbo nyeti ya wenyewe, cku hizi elimu inaanza kuwa kama sehemu ya kuongeza maarifa zaidi na sio kutokea,labda kama kuchomekea shati kwenda posta na kurudi ni sehemu ya mafanikio!

Hapo umeniacha hoi kumbe posta washkaj weng waliochomeka mashat wamen'gaa hawana ramani wala ofis wanazuga tu!!
 
Are u employed or nor? I never go to school so as to be employed, thanks be to God with my LLB, I became capable of employing myself, na nnapiga pesa ya kutosha hapa mjini. Poor Mind utafanyia kazi watu maisha yako yote.
 
Yeah my learned brother
 
Are u employed or nor? I never go to school so as to be employed, thanks be to God with my LLB, I became capable of employing myself, na nnapiga pesa ya kutosha hapa mjini. Poor Mind utafanyia kazi watu maisha yako yote.

Acha fix hizo,ungekua unapiga pesa kweli ucngejisifia hapa!.sema unapata hela ya kula tukuelewe
 
Are u employed or nor? I never go to school so as to be employed, thanks be to God with my LLB, I became capable of employing myself, na nnapiga pesa ya kutosha hapa mjini. Poor Mind utafanyia kazi watu maisha yako yote.

Eti na huyu nae anajiita msomi..stupid. unatoa vapour tu humu.
 
Bwana Yesu asifiwe wakuu..

Jamani nimeona ni vyema kutoa muongozo hasa kwa Form6 ambao mpo kwenye mchakato wa application za vyuo, kama kweli unapenda maisha yako na huna kaka wala Mama mbunge (Referee) nakuomba usisome kozi hizi.

Sociology, Political and Public Admnistration (PSPA), Public Admnistration (BPA), Conflict resolution, Mass communication(Mascom), International relation, Public relation, Law (LLB), Theology, Arabic language, Tax Management, Community development, Rural development planning etc.
NOTE:
Lengo langu si kukashifu mtu bali kutoa elimu.

Stay blessed.

Mbona tupo wengi ambao degree tulizochukua hazikutusaidia kupata kazi na wala hatukuwana god father lakini tuko juu??

Hizo kozi ni makaratasi tu..... mambo yote ni wewe tu!!
 
Kwenda A level,ndiko kunako wapotezea watu mwelekeo.Mtu anaweza kutumia cheti cha O level,akajiunga na vyuo ya ufundi na kusomea certificate course,kisha diploma na mwisho degree.Mtu akawa na background nzuri na uwezo wa hali ya juu katika fani aliyosomea.
Tuache mawazo mgando kuwa msomi lazima apitie A level kwanza,then degree,tukapuuza kozi za vyeti ambazo zinaweza kuwa toa watoto wetu kwenye sayansi
 
Back
Top Bottom