muungano huu wa kulazimisha tununue sukari ya upande mmoja,tutumie Zantel huku? tuangalie jamani tusilazimishane kutumia bidhaa za huko! !chonde chonde
jamani wenye mamlaka wasikie vilio vyetu,ukiendesha gari ya kirai unashida!mimi nilibambikiwa kupita kwenye zebra wakati waenda kwa miguu wanavuka ! nilitakiwa kulipa elf 30 jamani muwe na huruma, Tz tu polisi ni sehemu ya kukusanya pato la serikali
Tuwaombee wasiwe na umoja hata siku moja! Tuwasifie kwa kila ujinga wanaofanya tutakuwa tunawafunga tu! zamani marehemu Mzee kisimba aliwambia wale wana "umoja madhubuti"
Niliandika kwenu kuuliza kuhusu king'amuzi changu cha startime hadi leo hakuna jibu ! tabia zimeongezeka matangazo yanakatika kwa siku 2 inaandika "No sginal" ghafla inarudi 02035198984 msaada p/s
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.