Trafiki na ubambikaji wa makosa ya barabarani

Wenye magari wamegeuzwa ng’ombe kukamuliwa pesa. Bongo ukiwa na gari sasa hivi ni mtaji tosha wa mapato.
Hapa dar wenye magari ya mizigo mfano fuso,kirikuu, wanakoma
 
% kubwa wana force ili wapate Pesa tu,uonevu umekua mkubwa barabarani sijui litaishaje hili,kuendesha Gari barabarani ni kama jinsi sasa
 
Dawa no kuendesha usiku kama unasafari ndefu
Jumamosi nilikamatwa dar pale faya, nilikuwa natokea huku upanga, taa ikawaka kijana, kumbe baada ya kona tu, kama hatua 2 kuna taa ya watembea kwa miguu, eti nayo nilitakiwa nisubiri iwake kijani, yaani taa moja inakuongoza mara mbili, ujinga mtupu.

Nashauri aliyetengeneza hizo taa aje ajifunze kwenye taa za hapa morogoro aone mfumo wa taa za hivyo unavyofanya kazi
 
Umenikumbusha mkuu, Mimi nilisimamishwa na trafiki January mwaka huu, baada ya ukaguzi sikupatikana na kosa, akacheki kama ninadaiwa, ikaonekana niliandikiwa mwezi wa 11 mwaka jana na sijawahi kulipa pia deni limefika 60000. iliniuma sana sababu kwa akili zangu sina kumbukumbu ya kuandikiwa kosa mwezi tajwa. Nikakomaa kwanini sikupewa risiti nilipoandikiwa nilipata Maelezo ya kiboya sana hata nilipokwenda kwa mkuu wao sikupata msaada wowote.
Na mimi nimegundulika na deni la 60,000 toka march mwaka jana, mbaya zaidi gari ya kibarua; eti kosa na faini, nikahoji mbona deni hili halikuwepo mwezi wa 9 mwaka jana wakati nilipokamatwa na kuchekiwa? Mwezi wa 12 pia tunapokabidhi mandinga kwa mwenye nayo, huwa wanacheki kwenye system kuona kama kuna deni lolote, napo ikawa hakuna, sasa mwezi wa 3 mwaka huu unanambia nadaiwa, limetoka wapi???

Nikagundua, ukiwapa leseni namba yako tu umekwisha, anarekodi na namba ya gari kisha anahifadhi, siku hesabu hazijatimia, basi anavuta listi yake na ndo hivyo inavyokuwa....
 
Mahakama zimebomoka?
 
Je wanaweza tamper tochi?
nimeshashikwa mara mbili wakidai nimeover speed wakati speedometre inasoma 40 wao wanadai niko 57 na hiyo ni sehemu ya 50km. Siwaamini kabisa hawa jamaa.
 
Na mimi nimegundulika na deni la 60,000 toka march mwaka jana, mbaya zaidi gari ya kibarua; eti kosa na faini, nikahoji mbona deni hili halikuwepo mwezi wa 9 mwaka jana wakati nilipokamatwa na kuchekiwa? Mwezi wa 12 pia tunapokabidhi mandinga kwa mwenye nayo, huwa wanacheki kwenye system kuona kama kuna deni lolote, napo ikawa hakuna, sasa mwezi wa 3 mwaka huu unanambia nadaiwa, limetoka wapi???

Nikagundua, ukiwapa leseni namba yako tu umekwisha, anarekodi na namba ya gari kisha anahifadhi, siku hesabu hazijatimia, basi anavuta listi yake na ndo hivyo inavyokuwa....
Na mimi ndicho nachokumbuka, kuna afande pembeni alikuwa anaandika namba kwenye karatasi mbali na kuingizwa kwenye mashine.
 
Polisi inakusanya pesa sio mchezo baba.hata kama gari lako ni full insurance ila watatafuta kisababu mara sijui stika mara oh fire extinguisher imechekaa tunataka mpya sijui tairi upande mmoja imelika...
Tumekamatwa mikumi jana pale kwenye noah ya kukodi. Walikosa kosa wakadai boksi la huduma ya kwanza kumbe kutokuwa nalo ni shida pia.
 
Wenye magari wamegeuzwa ng’ombe kukamuliwa pesa. Bongo ukiwa na gari sasa hivi ni mtaji tosha wa mapato.
jamani wenye mamlaka wasikie vilio vyetu,ukiendesha gari ya kirai unashida!mimi nilibambikiwa kupita kwenye zebra wakati waenda kwa miguu wanavuka ! nilitakiwa kulipa elf 30 jamani muwe na huruma, Tz tu polisi ni sehemu ya kukusanya pato la serikali
 
Tumekamatwa mikumi jana pale kwenye noah ya kukodi. Walikosa kosa wakadai boksi la huduma ya kwanza kumbe kutokuwa nalo ni shida pia.

Duhh ndio kwanza nasikia 😀😀😀 yaani ipo siku watakagua hadi nguo tunazovaa...
 
jamani wenye mamlaka wasikie vilio vyetu,ukiendesha gari ya kirai unashida!mimi nilibambikiwa kupita kwenye zebra wakati waenda kwa miguu wanavuka ! nilitakiwa kulipa elf 30 jamani muwe na huruma, Tz tu polisi ni sehemu ya kukusanya pato la serikali
Pole ila sidhani kama wenye mamlaka wako tayari kusikiliza, wanayahitaji hayo mapato maana vyanzo vingi vya mapato viko hoi inabidi tuwabane nyie na magari yenu.
 
Lakini ninyi mnao lipishwa faini mnapewa visit za electronic? Pia mnapata fursa ya kusomewa mapato na matumizi kila baada ya robo mwaka kwa tararibu za fedha? Mnabandikiwa taarifa za mapato na matumuzi hayo sehemu za mangazo ya matangazo ya gazeti la serikali, ulizeni nyinyi wa vyombo vya moto mnakaa hamjui kiasi gani halisi mmechangia taifa,
 
Back
Top Bottom