Malipo kwamungu
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 574
- 86
PIKIPIKI NA AJALI
Nasikitishwa na pikipiki katika kipindi hiki zinaua sana!Wataalamu mtusaidie ni uendeshaji au undwaji wa pikipiki hizo?
Kama taifa tuliangalie kuwa ni janga jingine kwa taifa hili tunapoteza nguvu kazi kubwa ya rasilimali watu hasa vijana.
Tunaomba msaada wa wadau kila kada polisi,tbs,kuingilia kati kuokoa taifa hili katika janga hili ikiwezekana waelimishaji wafanye sehemu yao katika kuwafundisha ili wapone.